Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,595
Samaki aina ya mbasa na mayai yake,ndizi za kuchoma na maparachichi.(hiyo ni full breakfast)
Kyela.com
Samaki aina ya mbasa na mayai yake,ndizi za kuchoma na maparachichi.(hiyo ni full breakfast)
Hii yawezekana?!!!
Hicho ni chakula cha wagigikokojamani mambo yote upate mtindi kwa soda ya bariiiiiidi.
Samaki aina ya mbasa na mayai yake,ndizi za kuchoma na maparachichi.(hiyo ni full breakfast)
Imbalaga(ndizi) na Ikisambula(kisamvu )au Ilyanyungu(mboga ya maboga) unapokula lazima uhakikishe una mkombe wa maji ya kunywa wa lita 2 ,kwani imbalaga hizo zaidi ya chumvi na maji haziwekwi kitu chochote zinakuwa ngumu kama nondo du kwa hiyo zinakaba koo, kabali za watoto wa Kwa Mtogole ni cha mtoto kwa imbalaga zinavyokaba koo
Khipwi ndo nini mkuu?
Makande ya uwele na juisi ya mwarobaini. Lakini hata uji wa maganda ya maparachichi huwa naupenda sana.
jamani mambo yote upate mtindi kwa soda ya bariiiiiidi.