Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

Makopa wengine mnaita udaga na mgebuka nyama nono, ukipewa chakula cha namna hiyo, basi unheshimika sana kwetu
 
Nyama choma na ndizi choma
unashusha na mbege
 
makande ya uwele na juisi ya mwarobaini. Lakini hata uji wa maganda ya maparachichi huwa naupenda sana.
kwi kwi kwiiiiiiiiii duh hii kali kuliko zote.........wewe mwita punguza utata bana.
 
Kuna kitu kinaitwa mnavu kwa dona balaa......
 
Back
Top Bottom