Mi ukiniwekea ugali wa muhogo na mlenda nishushie na togwa,mbona unakuwa umenikumbusha mbali.
umenikumbusha mbali,mimi michembe na chai ya maziwa iwe na yale majani ya mchaichai.Ukiniletea matobolwa kwa chai nitashukuru sana...
Khipwi ndo nini mkuu?
Hah haaa,wewe utakuwa jirani yangu kule kanda ya magh/ziwa.
umenikumbusha mbali,mimi michembe na chai ya maziwa iwe na yale majani ya mchaichai.