Tukubali yaishe?

I woke up very serious.. na sijiungi nao ili kukaa kimya ila kujaribu kuyatoa mawazo mumo kwa mumo. Kupiga kelele toka nje nadhani inafaa kwa wakati wake lakini wakati mwingine mabadiliko lazima yaletwe toka ndani. "Upinzani wa Kweli utatoka ndani ya CC" alisema Mwalimu na kwa mbali kama vile ukungu naweza kuona ukweli wa maneno hayo hasa baada ya uchaguzi Mkuu wa CCM uliopita.

Kada nifanyie mpango wa hiyo Kadi... na nitafurahi kupokea kadi ninapokuja kijijini Disemba/Januari katika moja ya mikutano ya wakubwa.. (usiniulize kwanini siwezi kupokea kimya kimya).. I can't wait to put the yellow and green attire.. !!

Ndio naiona hii, Mwanakijiji unatania nini?

Huwezi kuacha mapambano na kujiunga nao, afadhali hata usingeanzisha mapambano, maana jemadari akianguka, unafikiri
hao wafuasi wote, makoplo, na wengine watakuwa kwenye hali gani?
 
You are talking about yourself. Hakuna HOJA kutoka kwako zaidi ya kwanini iwe dada. Imesahihishwa sasa unachoongea so far ...

Anyway, Asante.

Sidhani kama kuna sehemu nimeongelea kuhusu myself ila labda kama wewe unataka kuifanya hii issue about me. HOJA yako ya dada malaya na kubadilishwa kwa bible ili mungu awe She imefika.

Grrrrrrrrrrr
 
Ndio naiona hii, Mwanakijiji unatania nini?

Huwezi kuacha mapambano na kujiunga nao, afadhali hata usingeanzisha mapambano, maana jemadari akianguka, unafikiri
hao wafuasi wote, makoplo, na wengine watakuwa kwenye hali gani?

Mtanzania hivyo ndivyo nilivyoamka hasa baada ya kuzingatia ukweli wa hali halisi ulivyo. Ukiondoa hilo la mimi kupeleka mapambano kwa adui, huoni kwamba kuna wakati inabidi mbinu zibadilike? Pamoja na kelele za Buzwagi na Zitto kufungiwa CCM hawajabadilika. Masuala ya madini, BoT n.k CCM hawajabadilika. Ninavyoona mimi ni kuwa CCM haiwezi kubadilika, haitobadilika, na haijabadilika. Naamini kuwa CCM itaweza kubadilika pale ambapo italazimishwa kubadilika.

Njia muhimu ya kuibadili CCM na kwenda huko huko ndani na kuanza kuibadili. Unless of course kuna matumaini nje ya CCM ya kuweza kuibadilisha.

Naona hata kadi nanyimwa....
 
Unajua we Mwanakijiji ndio maana watu wengi wanaona unapenda sana attention (bishololo fulani hivi). Hebu angalia ni thread ngapi zimeanzishwa kuhusu kujitangaza kwako kutaka kuhamia CCM...watu badala ya kujadili ufisadi wanakujadili wewe...usikute hapo ulipo unachekeleeeea mwenyewe.
 
Nyani, sichekelei ila haka ka attention kamekaa kiajabu ajabu hivi. Miye nilikuwa najenga hoja kuwa inafika mahali kuwa baada ya muda unafikia mahali na kukata tamaa. Nimesema kwa kuangalia mambo jinsi yalivyo binafsi naona kama mbinu zote zinashindikana basi ni kuingia huko huko kwa adui. Sasa mtu mwingine akianzisha mada kuhusu mimi (it always make me uncomfortable).

Hata hivyo hoja ya mimi au mtu mwingine yoyote hapa kujiunga au kupinga kitu fulani nadhani inajadilika. Hasara kaanzisha hiyo mada kwa makusudi yake na anajua nisivvyopenda mada kuwekwa jina langu. Aliyeharibu mada hii na kuifanya iwe kuhusu mimi kuchagua kujiunga na CCM ni kada mmoja hivi.

But then, ningependa watu wajadili hoja zangu za msingi na wasahau azimio langu la kutaka kujiunga "nao" ili yaishe kimya kimya. Ila kwa mapama yake makubwa ni swali la msingi je kiongozi ambaye anaonekana yuko upande fulani anaweza kubadili timu na kuendelea kuwa kiongozi mzuri? Je mtu akiamua kuhama kambi ni lazima abadili msimamo wake au kanuni zake? Should a person compromise in order to be accomodated in a certain group of people? Na kama inabidi acompromise ni kwa kiasi gani?
 
Kaka Mwanakijiji,
kuna usemi wa watani zangu Wakurya unasema "Hakuna Kukata tama mpaka Uone Roho Inakatika". Nashangaa umekata tamaa mapema namna hio, ndio maana watu kama Kaka Hasara wanapata "Conspiracy Theories" kuwa umenunuliwa na sisiemu (Lowassa), ama unatafuta umaarufu, hata kama hali halisi sio hio, kwamba umeamua kuungana nao kwa lengo la kuibadili sisiemu kwa kuwafuata kule kule waliko. Anayejua kuwa wewe umenunuliwa ama sio, ni wewe mwenyewe.
Mpaka hapa akina Bi Senti Hamsini, Kada nk wamepata ushindi mkubwa sana kwa maonyo yao waliyokupa hapo nyuma, washapata tano za chap chap.
 
hata malaioka wakijiunga ccm huwa wanakuwa ibilisi..hata wapiga kelele kama masumbuko lamwai hugeuka kondooo..sijui ..lets see..wanamapinduzi hupigana hadi mwisho..usiangalie jeshi lina askari wangapi.."kwani wewe ndio chanzo cha mabadiliko...."
 
mzee phillemon, nimekusikia mkuu; kwenye zile filamu za kivita shujaa huenda kwa adui na kama inampasa kufa huko basi anahakikisha mabomu yote aliyokuwa nayo yanalipukia kwa adui!
 
Mzee Mwanakijiji,
Mjomba ktk hili nilidhani wewe mkristu mwenzangu? Duh haya kwa mapenzi gani kakupa huyo binti CCM?
Yote tisa, rudi kitandani lala kisha vuta njozi jiulize kitu kimoja kama kweli wewe muumini wa haki ktk kile unachokisimamia...Mwenzako nilifanya hivyo.
Judgement of the weak ones - If U can't beat them, Join them...
Now find the strongest point of Yourself - FAITH...
Mnnnnh! MJJK, I wonder kama utaweza kubadilisha dini kuwa Muislaam under any circumstances - CAN YOU?

Wake up, then repeat the question loud while looking at youself in the Mirror!..
The answer lies with you - right there!.
Brother, when searching for the truth don't look any further than yourself...

Ushauri wa mtu mzima, Nilishauriwa hivi na marehemu brother wangu 20 years ago..he inspired me into who I'm today - Stronger.
 
Mkandara,

Naomba kukuuliza wewe (ingawa ninawauliza wachangiaji wa topic hii kwa ujumla), yaani wewe uwawakilishe.

NI NINI HASA KINACHOJADILIWA KWENYE THREAD HII?

Asanteni
 
Mkandara,

Naomba kukuuliza wewe (ingawa ninawauliza wachangiaji wa topic hii kwa ujumla), yaani wewe uwawakilishe.

NI NINI HASA KINACHOJADILIWA KWENYE THREAD HII?

Asanteni

Mwanakijiji na majisikio yake alivyoamka leo...
 
sasa swali anaulizwa mwanakijiji watu wanakimbilia kufuta ! kweli balls zikiwawasha bana kazi kweli !

huyo aliyefuta nilichouliza, kalale mbele na ulaaniwe !
 
Mwanakijiji na majisikio yake alivyoamka leo...

Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattttttttttt!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????

Nyani, unajua tunakoelekea.....????!. Some one is deliberately trying to sink this SHIP. Guess who........?.
 
huu wa mwanakijiji ni ukataji wa tamaa tuu. Muhurumini tuu sasa ndio masikio yake na akili yake imeamka. sijui ndio Ndoto yake hiyo? Kama hamjajua Mwanakijiji anakiu kubwa sana ya kuwa kwenye system sasa amegundua kuwa hii kupiga kelele nyuma ya sikrin ya komputer hainsaidii sasa anatafuta mkutano wa hadhara ili akapokee kadi ya sisiem baada ya kugundua strategy yake ya kutafuta popularity kwenye mtandao haifanyi kazi.

Itacheesha sana siku anapokea kadi wananchi wanauliza kwani yule naye ndiye nani? waambiwe ni mwanakiji ambaye even 0% ya watanzania hawamjui. Mkuuu mwanakijiji naona mawazo yako ni mazuri yanaweza kukusaidia kuganga njaa.

Kadiri siku zinavuzidi kwenda mimi naona mwanakijiji anazidi kupoteza mwelekeo naapa.
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattttttttttt!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????

Nyani, unajua tunakoelekea...... Some one is deliberately trying to sink this SHIP. Guess who.........[/B]

Mwanakijiji
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattttttttttt!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????

Nyani, unajua tunakoelekea...... Some one is deliberately trying to sink this SHIP. Guess who.........

Who.....? Halafu sijakuelewa...hilo li whaaaaat la nini sasa
 
Back
Top Bottom