Tukubali yaishe?

Kada,

Naomba kulivalia njuga suala lako la kufutiwa, hebu uliza tena kaka tuone kama lilistahili kufutwa, we akifuta mtu uliza tena na tena mpaka achoke kufuta!
 
Nyani,

Kuna watu wamepewa kazi maalum ya kuhakikisha JF inaonekana kama Dar hotwire. Yaani credibility inashuka kabisa...

Ndio kazi inayoendelea humu..
What ni kujiuliza watu kujadili MAJISIKIO ya mtu!

Mzee HUJASOMEA URUSI NINI?!
 
Mi mtoto wa kileo bana...sijasomea Urusi mimi. We dizaini umesomea huko...
 
Kada,

Naomba kulivalia njuga suala lako la kufutiwa, hebu uliza tena kaka tuone kama lilistahili kufutwa, we akifuta mtu uliza tena na tena mpaka achoke kufuta!

mwanakijiji na timu yake walishika bango kusema kwamba zitto alitaka kuuliwa na ccm, zitto akakanusha KULIKO, sasa ndio nikataka kumuuliza mwanakijiji aje kuthibitisha maneno yake !! naona swali limefutwa !
 
Nyani,

Kuna watu wamepewa kazi maalum ya kuhakikisha JF inaonekana kama Dar hotwire. Yaani credibility inashuka kabisa...

Ndio kazi inayoendelea humu..
What ni kujiuliza watu kujadili MAJISIKIO ya mtu!

Mzee HUJASOMEA URUSI NINI?!

Watu kwa kujifanya mnajua tu hamjambo!!Hao watu waliotumwa ni kina nani na wametumwa na nani na wewe umejuaje kama wametumwa?
 
mwanakijiji na timu yake walishika bango kusema kwamba zitto alitaka kuuliwa na ccm, zitto akakanusha KULIKO, sasa ndio nikataka kumuuliza mwanakijiji aje kuthibitisha maneno yake !! naona swali limefutwa !

Nililiona hilo swali. Hukuliweka vizuri, yaani haikueleweka unauliza au una quote au unauliza swali?

Matumizi ya nafasi, pharagraph na sentensi iliyonyooka na mapangilio ni bora sana unapowasilisha HOJA.

Nyani Ngabu,

Yes mdogo wangu nilisomea huko!
 
huu wa mwanakijiji ni ukataji wa tamaa tuu. Muhurumini tuu sasa ndio masikio yake na akili yake imeamka. sijui ndio Ndoto yake hiyo? Kama hamjajua Mwanakijiji anakiu kubwa sana ya kuwa kwenye system sasa amegundua kuwa hii kupiga kelele nyuma ya sikrin ya komputer hainsaidii sasa anatafuta mkutano wa hadhara ili akapokee kadi ya sisiem baada ya kugundua strategy yake ya kutafuta popularity kwenye mtandao haifanyi kazi.

Itacheesha sana siku anapokea kadi wananchi wanauliza kwani yule naye ndiye nani? waambiwe ni mwanakiji ambaye even 0% ya watanzania hawamjui. Mkuuu mwanakijiji naona mawazo yako ni mazuri yanaweza kukusaidia kuganga njaa.

Kadiri siku zinavuzidi kwenda mimi naona mwanakijiji anazidi kupoteza mwelekeo naapa.

na sio hapo tu mkuu, lakini kwa wafuatiliaji makini hapa forum, nadhani wataanza kuelewa kwa nini mwanakijiji anapoteza mwelekeo, ratings zake zinakuwa low-even low low, hawezi kukonvinsi watu kama zamani, watu washamstukia, na hii nadhani wafuatiliaji makini hapa watakuwa wanaelewa nini chanzo cha hayo yote !

Ni kweli kabisa uliyosema !

Mwanakijiji nilikwambia several times Mkuu ! limelight hautokaa forever, ukabisha, now we are witnessing ! ulijiharibia sana jina katika ile thread ya listi ya mafisadi JF !!(pamoja na kubase kwako kwenye chama chenu mnachobadirisha rangi za bendera kila siku )
 
Nililiona hilo swali. Hukuliweka vizuri, yaani haikueleweka unauliza au una quote au unauliza swali?

Matumizi ya nafasi, pharagraph na sentensi iliyonyooka na mapangilio ni bora sana unapowasilisha HOJA.

Nyani Ngabu,

Yes mdogo wangu nilisomea huko!

nilikuwa na haraka ndio maana lakini wenyewe walilielewa ndio maana wakafuta haraka haraka wageni wanaotoka Darhotwire !

na sasa hivi mwanakijiji kaiua JF, JF imebaki JF kama jina tu na sehemu ya kupumzikia !
 
Nililiona hilo swali. Hukuliweka vizuri, yaani haikueleweka unauliza au una quote au unauliza swali?

Matumizi ya nafasi, pharagraph na sentensi iliyonyooka na mapangilio ni bora sana unapowasilisha HOJA.

Nyani Ngabu,

Yes mdogo wangu nilisomea huko!

Ndio maana uko mshamba mshamba...kila siku nilikuwa najiuliza...hili lijamaa mbona lakuja sana...kumbe umesomea Urusi
 
FD, sijakuelewa mkubwa lakini nitakujibu kama nilivyoelewa mimi..Jaribu kufuatilia lugha yangu maanake huwa sijui kuandika bila kona zangu (mifano).
Hii ni ktk metrix za mzee wetu MKJJ, kama ndoto ya mchana yaani Mzee wetu MKJJ kafikiria sana toka huko nyuma toka juhudi zetu ktk kupambana na Ufisadi kwa kutumia lugha inayokashifu mabaya, mapungufu na kadhalika kwa nia njema ili serikali na hasa rais wetu aweza kuyatazama haya na kuyashughulikia lakini ndio kwanza wametia Pamba na nchi inaendelea kujengwa kwa jembe la mkono.
Now, Mzee wetu anauliza solution ilobaki kama ni -Badala ya kukaa nje ukitazama wakulima wetu, kuna kila haja ya sisi/yeye kushika jembe pia kujiunga na ukulima (siasa) ili kuyaweka mapambano shambani pengine yawezekana elimu bora ataweza kuitolea mfano akiwa na jembe mkononi..
Ata loose a lot:- kama ataacha kujiunga za siasa kwani ndiko shambani na ata loose kidogo kama atajiunga nayo ni maisha alokwisha jijengea hapo MO town.... Huu ulikuwa kama wito sio kwake pekee bali kwetu sote!..
Niliposema Mkristu nilikuwa na maana raia, mwandishi, mtoa hoja asiyetaka kabisa kuwa mwanasiasa (Politician).
Ndivyo nilivyoelewa mimi sasa kama nimekosea mjomba naomba radhi nimelivaa togwa sasa naona makengeza tu.
 
Ndio maana uko mshamba mshamba...kila siku nilikuwa najiuliza...hili lijamaa mbona lakuja sana...kumbe umesomea Urusi

Sure Young bro, sijakaa Marekani kabisa, toka nitoke URUSI mwaka 1982 sijawahi kwenda nje ya nchi zaidi ya Kenya na Uganda.

Hata kwa sasa sipo mjini nikweli kabisa ninalima, ila kilimo cha kisasa kabisa, na ukichoka KUBEBA MABOKSI na kuamua kuacha KUDHARAULIKA huko nje, njoo nitakupa ajira kijana.
 
Mkandara, once again you suprise me! kati ya watu waliochangia hatimaye you took time to read what I actually wrote and the essence of my dilemma. Na ndiyo kichwa cha habari kisemavyo. Haya mengine ya mimi kuamka na mawazo ya kuhamia CCM ni kidogo ukilinganisha na mgogoro wenyewe wa kifikra nilionao. Kusalimu amri au kurudi nyuma, kusonga mbele au kubadili kambi? Na katika hayo yote mtu anaweza kuwa mkweli kwa nafsi yake.

Kina Ngawaiya, na Hiza walitoka upinzani wakaingia CCM na wakajaribu kubadilika kwa kuimba nyimbo za CCM na kuanza kukandia hata juhudi zao wenyewe kwenye kambi ya upinzani kwa kukubali kuwa walikuwa wanasema uongo. Je, mtu anaweza kubadili kambi bila kubadili kanuni kubwa za msingi zilimzotautisha mtu yule au kuhakama kambi inakuwa kama kuokoka na maisha ya nyuma yanakuwa kama historia ya ujima?
 
That is a big but simple question. Obviously, no. If you have to join you have to play by their rules otherwise, you will not fit. Every organisation has rules, if you cannot follow the rules you are not fit to be a member which is why some of us had to walk out. So, there is no dilemma here, it is straightforward that you either join them and be like them or you dont and live up with your principles. There is no middle ground playing. And dont forget the famous phrase, "You cannot change CCM, CCM will change you". If you dont believe this you ask Kikwete what happened to him. In two years, CCM has changed him more than it did to Mkapa in 10 years, that is CCM. Best wishes as you contemplate your final destination in politics.
 
Mkandara,

Naomba kukuuliza wewe (ingawa ninawauliza wachangiaji wa topic hii kwa ujumla), yaani wewe uwawakilishe.

NI NINI HASA KINACHOJADILIWA KWENYE THREAD HII?

Asanteni

FD, hili swali lako limenifanya nijione mimi ni mjinga sana kwa kuwa moja ya washiriki wa huu mjadala. Thanks, and I am out of this mess!
 
Sure Young bro, sijakaa Marekani kabisa, toka nitoke URUSI mwaka 1982 sijawahi kwenda nje ya nchi zaidi ya Kenya na Uganda.

Hata kwa sasa sipo mjini nikweli kabisa ninalima, ila kilimo cha kisasa kabisa, na ukichoka KUBEBA MABOKSI na kuamua kuacha KUDHARAULIKA huko nje, njoo nitakupa ajira kijana.

Nani kakwambia mimi niko Marekani? Nani kakwambia mimi nabeba maboksi? Hivi kwa akili yako unadhani kama ningekuwa Ruvuma nabeba maboksi ndio ningeheshimika zaidi? Wewe una funza kichwani wanaoathiri mchakato wako wa kufikiria.
 
mwanakijiji huna lolote zaidi ya kigeu geu tuu na huna tofauti na kina Ngawaiya,Hiza,Lamwai etc ila unachojaribu ni hizo spin zako za kubadilisha lugha tuu ili uonekane unachofikiria ni tofauti na wao,kama uko serious na tukubali yaishe nenda kaombe msamaha kwa MSOLLA NA WITHDRAW HIYO PETITION FAKE YAKO na next time usitupotezee muda humu
 
Nani kakwambia mimi niko Marekani? Nani kakwambia mimi nabeba maboksi? Hivi kwa akili yako unadhani kama ningekuwa Ruvuma nabeba maboksi ndio ningeheshimika zaidi? Wewe una funza kichwani wanaoathiri mchakato wako wa kufikiria.

unajieleza kichwa kilivyochoka? rudi bongo kijana kama kichwa kimejaa mafunza! nilifikiri umeota sugu! teh teh teeee tehhhhh:)

Pole sana, siwezi kukusaidia na frustration zako za maisha!
 
Back
Top Bottom