Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Leo ndio mnagundua hamna nchi?....hii kali.
 
kuna miwan myeusi mmoja mjed aliwahi niambi ima akitolewa tu kuna kundi litakiwasha maana hii itakuwa too much na wao na hilo kundi hawatokubali kamwe nikabet kuwa hakuna kitu kama hicho nikamwambia ima atatolewa na hakuna watakalofanya sasa nasubiri muda tulioahidiana upite aidha nile hela yake au ale yangu
Hao jamaa ni snitch mpaka basi. Usiwaamini hata kidogo.
 
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Ifike hatua mamlaka ya Nchi yarudi kwa wenye Nchi
 
Mzee Mwanakijiji, habari za wakati huu na heshima yako Mkongwe! Karibu sana jamvini. Ni faraja kubwa kuona mmoja wa nguzo na waasisi wa mijadala hapa JamiiForums ukiendelea kusimama jukwaani na kuchochea fikra kwa hoja nzito kama hii. Rekodi yako ya tangu mwaka 2006 na mchango wako wa maelfu ya mada na maoni ni alama ya wazi ya uzalendo na ukongwe wako uliotukuka.
Kuhusu hoja yako mchanganyiko na ya kimkakati uliyoiwasilisha, hapa chini kuna uchambuzi wa kiweledi unaoangazia pande zote za mtazamo wako:

1. Hatari za Kisheria na Mustakabali wa Viongozi (Nchimbi na Damian)
  • Utawala wa Sheria vs. Siasa: Hoja yako kuhusu uwezekano wa viongozi kufikishwa mahakamani au kuwekewa vizuizi inaleta picha ya jinsi mifumo ya kisheria inavyoweza kutumika kama silaha ya kisiasa (lawfare).
  • Migogoro ya Kikatiba: Unapoashiria kuwa kuna shinikizo linalotengeneza migogoro dhidi ya mihimili mingine (kama Bunge na Mahakama), unagusa kiini cha mgawanyo wa madaraka (separation of powers). Kihistoria, migogoro hii isipodhibitiwa, hudhoofisha imani ya wananchi kwa taasisi kuu za nchi.

2. Mtazamo Mpya: "Hatuhitaji Katiba Mpya au Maridhiano"
  • Kuhama kutoka kwenye Reform kwenda kwenye Muundo: Hapa unaonyesha mabadiliko makubwa ya kifikra. Wakati harakati nyingi za kijamii zikipigania Katiba Mpya au maridhiano ya kisiasa (kama meza za maridhiano za maridhiano), hoja yako inavuka hatua hizo na kuona kuwa matatizo yaliyopo hayawezi kutatuliwa na "kiraka" cha Katiba, bali yanahitaji mabadiliko ya mfumo mzima wa kiutawala.

3. Hoja ya Tanganyika Huru na Kuvunjika kwa Muungano
  • Mvunjiko wa Imani ya Muungano: Kauli yako ya "niliamini katika kubeba asiyebebeka... Imetosha" inaakisi hisia zinazozidi kukua kimya kimya miongoni mwa baadhi ya Watanganyika (Tanzania Bara). Ni mtazamo unaoona kuwa gharama za kiuchumi, kijamii, na kisiasa za kuulinda Muungano zimekuwa kubwa mno kulinganisha na faida zake.
  • Mamlaka Kamili ya Tanganyika: Dai la "Tanganyika huru" si jipya (tangu enzi za Kundi la Wabunge 55 - G55 miaka ya 1990), lakini linapowekwa mezani na mtu mwenye ushawishi kama wewe, linabeba uzito mpya. Hii inamaanisha kuwa changamoto za sasa za kiutawala zimefika hatua ya kuhoji uhalali wa misingi mikuu ya Taifa (Muungano wenyewe).

Changamoto za Mtazamo Huu
Ingawa hoja yako ina mantiki kubwa ya kutoridhika na mwenendo wa sasa, kiuhalisia na kiweledi kuna mambo ya kujiuliza:
  • Gharama za Kuvunjika kwa Muungano: Je, athari za kijiografia, kiulinzi, na kiuchumi kati ya Bara na Zanzibar zimepigiwa hesabu sawa sawa kama Muungano ukivunjika ghafla?
  • Je, Tanganyika Huru Ndiyo Suluhisho la Mifumo yetu? Kama changamoto zilizopo sasa (za kisheria na kiutawala) zinasababishwa na tabia za viongozi wetu wenyewe wa Bara (Watanganyika), je, kuwa na Tanganyika Huru kutabadilisha tabia hizo, au tutakuwa tumehamisha tu tatizo kutoka kwenye ngazi ya Muungano kwenda kwenye ngazi ya Jamhuri ya Tanganyika?
Mzee Mwanakijiji, hoja yako imefungua uwanja mpya wa fikra. Je, unaona kuwa madai ya Serikali Tatu (Muundo wa Shirikisho) yanaweza kuwa njia ya kati kabla ya kufikia uamuzi mgumu wa kuvunja Muungano kabisa, au unaamini kuwa daraja hilo tayari limeshachomwa moto na hakuna njia ya kurudi nyuma?
 
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Samahani mkuu,

Damian ni nani?
 
Kwanini watu wanauona samia ndio tatizo na kusahau tatizo halisi si samia bali ni boss wa samia ( JK).
Samia sio tatizo na hana akili ya kufanya yote haya huyu hata alivyopewa umakamu alianza kulia alishawahi kusimulia.

Tatizo halisi la nchi yetu ipo mikononi mwa JK .
 
Mpaka sasa, power bado iko mikononi mwa kundi la watu wa kigeni ( Zanzibar ) Unadhani kama mamlaka za juu zimeshindwa kusimama upande wa wananchi, nchi inaweza kujinasua kupitia nguvu ya raia wenyewe bila backup ya wenye nguvu?

Hapa tunahitaji kusimama pembeni kidogo na kuangalia tunavyokula dozi za moto. Wale wanaojaribu kusimama na kusema ukweli wanaishia kula HEAD SHOT na hilo linahuzunisha sana.
 
Back
Top Bottom