Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
- Thread starter
- #81
Kill mmoja Familia yake itaguswaWatanganyika wenyewe sasa
Kill mmoja Familia yake itaguswaWatanganyika wenyewe sasa
labda nikuulize wewe mzee Kuna jambo lipi kubwa la maana Chadema wamefamya kwa Tanzsnia?i dont argue with warthogs, ungejibu ningemwambia umuulize hata mzazi wako maana vyama vya siasa na sio kuja hapa na propaganda za ati bila chadema you can get a better leadership in politics. Hoja unajua wewe. Na bado hamjasema!
Umetumia kichwa cha mada kibaya sana, pamoja na kwamba uliweka alama ya kuuliza liwe swali.Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Umejaribu sana; lakini siyo kweli kwamba Mwalimu alitegemea "ggod will"; ndiyo maana mambo ya muungano yalikuwa yameainishwa vizuri kabisa, na ndizo zilizokuwa zinairtwa "kero za Muungano" ambazo leo hii huzisikii kutoka upande huo; kwa nini?Sawasawa kabisa
Mwalimu aliunga hizi nchi mbili akitegemea "Free will" ya watu wenyewe, akadhani nia njema yatosha
Lakini katika muungano, unapoua nchi moja huku nyingine ukaliacha likiwa hai hata kama umelipunguzia nguvu, basi ujue loyalty ya watu wa nchi hiyo itakuwa divided.
Wale uliowabakishia nchi yao Wataipenda nchi yao ya asili kwanza halafu ile nyingine ya wote itakuja next. Wakati wale wengine ulioua nchi yao, wao masikini wanajua kuwa nchi yao ni moja!.
Hatuwezi kuwa na double loyalty ndani ya nchi halafu ukasema tu wamoja. Mwalimu hakuliona hili!
Labda udogo wa Zanzibar ulimpofusha akadhani haina uwezo wa kuitetemesha Tanganyika, akasahau kuwa nchi ni nchi, ukishaipa veto ya kinchi basi ukubwa wake au udogo wake si hoja tena.
Leo Tanganyika ni shamba la bibi, haina mtetezi, mali zake ni cha wote, hakuna wa kutetea au kulinda maslahi yake ndani ya muungano, wakati Zanzibar chao ni chao peke yao ila cha Tanganyika ni chao pia!
Tunaitaka Tanganyika yetu!
Hapana.Hili ni kweli...kwa muda mrefu watu wa Tanganyika hawakuhofia Zanzibar ..hadi Ile Oktoba 29...something changed...na hili la Nchimbi limeongezea tu
Umejaribu sana; lakini siyo kweli kwamba Mwalimu alitegemea "ggod will"; ndiyo maana mambo ya muungano yalikuwa yameainishwa vizuri kabisa, na ndizo zilizokuwa zinairtwa "kero za Muungano" ambazo leo hii huzisikii kutoka upande huo; kwa nini?
Kwa sababu akina Kikwete waliamua kivtyao, na ukweli ni kwamba muungano ulianza kudhoofikia hapo walipoanza kutengeneza "nchi yao", ambayo haikuwepo Muungano ulipoasisiwa.
Jambo ambalo analoweza kulaumiwa Mwalimu Nyerere ni kutohisi kwamba kutakuwepo na viongozi wa aina ya Kikwete na huyu Samia.
Tatizo jingine ambalo Mwalimu hakuliona, akidhani kuwa CCM kama chama kimeimarika sana na kwamba hakiwezi kuyumbishwa.
Katika juhudi zake za kuwaunganisha waTanzania na kupunguza misuguano ya makundi mbalimbali kama dini; alifikiri kuwa kuwaweka BAKWATA ndani ya chama kungesaidia kupunguza misuguano ya kidini.
Ambalo hakulijuwa ni kuwa BAKWATA itakuja kuwa ndiyo inaiendesha CCM kama ilivyo sasa hivi
Hapana.
Hilo si kweli kama nilivyolielezea hapo juu.
Pamoja na kwamba watu wanaogopa na hawapendi kuyazungumzia haya maswala waziwazi, lakini sasa ni muhimu yawekwe wazi ili matatizo yetu yafahamike yanakotokea.
Hii CCM tunayoizungumzia mara kwa mara, na kuilaumu kwa haya matatizo yanayotukumba sasa; tunajuwa ni CCM ya aina gani?
Ni ileile aliyoiacha Mwalimu au ni CCM nyingine kabisa ambayo imeachana siku nyingi na misingi yake ya mwanzo na kuchukua sura mpya?
Ukiniuliza mimi nitakwambia kwamba ni CCM (bandia) inayoendelea kutumia mfumo wake iliyokuwa nayo; kama vile kuwa na Jumuia mbalimbali ndani ya chama; lakini hasa hasa Vyombo vya Dola kuwa chini yake ambavyo inaendelea kuvitumia kuifanyia CCM Bandia.
Jumuia moja wapo ilikuwa ni BAKWATA, ambayo sasa ndiyo inayoshika hatamu, hata kama haijitangazi waziwazi
Na kwa bahati mbaya kabisa; hiyo hiyo BAKWATA ikaingiliwa na kundi hatari la watu baadhi yao waliokuwa Mkiru/Kibiti, Amboni Mapangoni na kwingineko.
Hawa wameona sasa hakuna sababu tena ya kwenda huko maporini iwapo kuna njia nzuri kupitia kwenye chama CCM; kwa mwamvuli wa BAKWATA; na Samia hawa ndiyo ngao yake kuu sasa ukiondoa hivyo vyombo vya dola. Sasa unawaona akina Mwaipopo waziwazi!
Sasa kama hatutaki kuyaelewa haya kwa kuogopa hata kuyagusia tu; hasa kwa wanachama wa CCM wenyewe; yatazidi kushamiri na kuzaa maafa kama ambavyo tayari tumekwisha shuhudia Oktoba.
Mama yako ndo hamuamini. Jifunze kujadili mada sio mleta mada. Usiwe kama umepigwa mitiHuaminiki tena!
Hata mtoto akikua hubadilika sembese chadema kutoka chama pandikizi kuja kua chama halisi cha kupagania haki na demokrasia!kubishana Takataka kama wewe ni kupoteza energy muda wangu kichwa chako kimekalili Chadema ndio Malaika sana
na unaposema Mbowe ni pandikizi la ccm unajua hata kwamba muanzilishi wa Chadema ni Mkwe wa Mbowe sasa wewe Chawa wa Chadema utajilinganisha na Mbowe leo umuite pandikizi wa ccm
kama yeye ni pandikizi basi hata chadema ilianzishwa kwa maslahi ya ccm
Scanning inaendelea, kwa ujinga uliojengeka ndani ya mfumo kwa miska mingi na kugeuka utamaduni, ni lazima Makamu awe MkatolikiNa moto utawaka pale Yericko Nyerere atakapotangazwa kuwa makamu wa Rais
Kwani huyo JK ndio Rais?Kwanini watu wanauona samia ndio tatizo na kusahau tatizo halisi si samia bali ni boss wa samia ( JK).
Samia sio tatizo na hana akili ya kufanya yote haya huyu hata alivyopewa umakamu alianza kulia alishawahi kusimulia.
Tatizo halisi la nchi yetu ipo mikononi mwa JK .
Kwamba Watanzania waliopo hawawezi kuamua mustakabali wao ?.....Imebidi nimkumbuke Mzee wa Lupaso, tumekuwa wakiwa, naamini angekuwa hai tusingefika huku!
Hakuna namna nchi ishanyakuliwa wazee wetu wapumbavu sanaMpaka sasa, power bado iko mikononi mwa kundi la watu wa kigeni ( Zanzibar ) Unadhani kama mamlaka za juu zimeshindwa kusimama upande wa wananchi, nchi inaweza kujinasua kupitia nguvu ya raia wenyewe bila backup ya wenye nguvu?
Hapa tunahitaji kusimama pembeni kidogo na kuangalia tunavyokula dozi za moto. Wale wanaojaribu kusimama na kusema ukweli wanaishia kula HEAD SHOT na hilo linahuzunisha sana.
Kwamba Watanzania hawawezi kuamua mustakabali wao.Imebidi nimkumbuke Mzee wa Lupaso, tumekuwa wakiwa, naamini angekuwa hai tusingefika huku!
Watanganyika ni watu wapumbavu dunia nzima, sijui Mungu alikosea nini?Watanganyika nyoko. Leo ndo mmejua hatuko huru na bado hamjasema mbwa nyie. Njoo hapa twende mahakaman kumtoa lissu ndo bado hata hamjui kama yupo kule. Wabongo midomo yenu ni sawa na yule ndege wa ziwani yaan yeye bora liende.
Mnajivunia twiga na nyie ni ngiri tu lalen kukuche msitusumbue mda huo kabla hawajapandisha bei ya konyagi. Nisikie mtu ananiambia konyagi n mbaya.
Be specific, CHADEMA haijawahi kushika dola, lakini Wameisaidia hii nchi kwa kukosoa na kuvumbua maovu mbalimbali, unless kama wewe ni mgeni.labda nikuulize wewe mzee Kuna jambo lipi kubwa la maana Chadema wamefamya kwa Tanzsnia?
Achana na mpuuzi huyo. Hawa ndio walitaka wote tumzungushie mikono lowasa kisa tumeamriwa na mbowe, kila aliyekataa ujuha ule akaitwa msaliti.Umeona ulivyokuwa Tahira, sasa unakariri kwamba wapigania haki wanatoka CHADEMA peke yake? Wewe ulishawahi kuniona humu nikitetea CCM?
Kwa taarifa yako, hata hao CHADEMA wenyewe,hakuna cha maana wanachokipigania zaidi ya maslahi yao binafsi. Mfano ni jinsi walivyopewa fungu, wakajigawa na baadhi yao kukimbilia CHAUMA tena ni viongozi wakubwa .
mfano mwingine ni Mbowe. Si ndiye aliyekuwa mstari wa mbele wakati wa Magufuli kudai haki na kupigania demokrasia? Baadae alipolambishwa asali, leo yuko wapi katika hayo unayoyaita mapambano ya haki?
Kwa hiyo usinipachike kwa CCM kwa sababu tu nimekosoa jambo fulani la kuhusu wewe mwa chadema ukazani wote ni wa chama tofauti, sisi wengine hatuna chama ila tunapenda Leadership nzuri badi.
Sasa wewe una tofauti gani na nyumbu kama kila kitu unakiona kwa upande wa chama chako tu?
nchi ya kisenge sana yaani wanataka tu wakienda chooni uwasifie, wakijampa ufurahie, wakikutemea mate useme yes mheshimiwa. Demokrasia walishaifukia kitambo. Hata marekani ndo taifa baba lao lakin upinzan ina sauti ya kutosha. Nchi gani ukisema ukweli wewe ni mhaini? Washenzi sana na tutaendelea kutekwa na hatutafanya chochote. Mtu mzma na ndeke zake mbili anasema kabisa ati serikal ipo sawa. Mwingne na minyonyo ni kama ananyonyesha majambazi anashabikia ati wanawake wanaweza. Pumbavu zao.Watanganyika ni watu wapumbavu dunia nzima, sijui Mungu alikosea nini?
Yaani wakila wakashiba na kujamba wanaona kuwa watu wengine wote wanastahili kufa! Mimi najitanabaisha kuwa niko CCM lakini bado napiga kelele kila siku tummsapoti Lissu kwa anachokitetea kinatuhusu wote, Wengi wanajidanganya wako salama , hatutakuwa salama mpaka tuwe na uhuru wa kweli, hii nchi inamilikiwa na watu wachache, ndio maana wako tayari kutuuwa ili tu waendelee kusalia madarakani.