Umeona ulivyokuwa Tahira, sasa unakariri kwamba wapigania haki wanatoka CHADEMA peke yake? Wewe ulishawahi kuniona humu nikitetea CCM?
Kwa taarifa yako, hata hao CHADEMA wenyewe,hakuna cha maana wanachokipigania zaidi ya maslahi yao binafsi. Mfano ni jinsi walivyopewa fungu, wakajigawa na baadhi yao kukimbilia CHAUMA tena ni viongozi wakubwa .
mfano mwingine ni Mbowe. Si ndiye aliyekuwa mstari wa mbele wakati wa Magufuli kudai haki na kupigania demokrasia? Baadae alipolambishwa asali, leo yuko wapi katika hayo unayoyaita mapambano ya haki?
Kwa hiyo usinipachike kwa CCM kwa sababu tu nimekosoa jambo fulani la kuhusu wewe mwa chadema ukazani wote ni wa chama tofauti, sisi wengine hatuna chama ila tunapenda Leadership nzuri badi.
Sasa wewe una tofauti gani na nyumbu kama kila kitu unakiona kwa upande wa chama chako tu?