Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

kuna miwan myeusi mmoja mjed aliwahi niambi ima akitolewa tu kuna kundi litakiwasha maana hii itakuwa too much na wao na hilo kundi hawatokubali kamwe nikabet kuwa hakuna kitu kama hicho nikamwambia ima atatolewa na hakuna watakalofanya sasa nasubiri muda tulioahidiana upite aidha nile hela yake au ale yangu
na wewe unawaamini wanajeshi?
 
Hawana lolote hao, wewe jiandae kujipigia hela tu.

Ingekuwa kupiga wananchi hapo ulikuwa umepoteza hela.
 
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Mnakuaga kama majongoo mpaka mjigonge ndo mjue mlikosea njia sio??

Kipindi CHADEMA wanapiga kelele nchi inapopelekwa sio mliwaona makenge sio?
 
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Kamwene,yono
 
Hili swala sio la chadema kuna wengine hatuna chama ila tunataka Leadership bora ima iwe Chadema au CCM usiingize uchadema wako hapa
Usizuge kwamba huna chama wala nini... wewe ni miongoni wa mazezeta wa chama kile, ndo mana hukubaliani na ukweli kwamba Chadema pekee ndio chama kilichokua kiikipigania utawala bora tangu enzi
 
Hichilima chama chake ndio chadema ya zambia,baada ya kupata madaraka tunaona chadema ya zambia malipo yake kwa wananchi wake,siasa ya afrika ni unafiki mno
 
Mkuu hapa tumesha ingia kwenye continuous flow sisi ni koloni jana leo na hata milele.
Kweli tulishajichanganya toka kitambo kutoka hapa ni mtiti
inasikitisha sana sisi hatuna nchi
wazenj wana nchi na wapo so proud na ka nchi kao
wacha watutawale ikiwezekana watuue wote huku bara kuwe nako zenj

Sababu watanganyika sisi wengi ni mapimbi!
 
Usizuge kwamba huna chama wala nini... wewe ni miongoni wa mazezeta wa chama kile, ndo mana hukubaliani na ukweli kwamba Chadema pekee ndio chama kilichokua kiikipigania utawala bora tangu enzi
Umeona ulivyokuwa Tahira, sasa unakariri kwamba wapigania haki wanatoka CHADEMA peke yake? Wewe ulishawahi kuniona humu nikitetea CCM?

Kwa taarifa yako, hata hao CHADEMA wenyewe,hakuna cha maana wanachokipigania zaidi ya maslahi yao binafsi. Mfano ni jinsi walivyopewa fungu, wakajigawa na baadhi yao kukimbilia CHAUMA tena ni viongozi wakubwa .

mfano mwingine ni Mbowe. Si ndiye aliyekuwa mstari wa mbele wakati wa Magufuli kudai haki na kupigania demokrasia? Baadae alipolambishwa asali, leo yuko wapi katika hayo unayoyaita mapambano ya haki?

Kwa hiyo usinipachike kwa CCM kwa sababu tu nimekosoa jambo fulani la kuhusu wewe mwa chadema ukazani wote ni wa chama tofauti, sisi wengine hatuna chama ila tunapenda Leadership nzuri badi.
Sasa wewe una tofauti gani na nyumbu kama kila kitu unakiona kwa upande wa chama chako tu?
 
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Uhuni mliupalilia kwa hoja za kuleta maendeleo na nia njema.

Miaka ya nyuma tulisoma sana makala zenu kwenye magazeti kumbe tulikuwa tunasoma cheche za chuki zenu kwa watu msiowapenda na siyo misimamo yenu ya kujali utu na haki.

Nani anayefuata maana hakuna aliyesalama tena ?
 
Watanganyika nyoko. Leo ndo mmejua hatuko huru na bado hamjasema mbwa nyie. Njoo hapa twende mahakaman kumtoa lissu ndo bado hata hamjui kama yupo kule. Wabongo midomo yenu ni sawa na yule ndege wa ziwani yaan yeye bora liende.
Mnajivunia twiga na nyie ni ngiri tu lalen kukuche msitusumbue mda huo kabla hawajapandisha bei ya konyagi. Nisikie mtu ananiambia konyagi n mbaya.
 
kuna miwan myeusi mmoja mjed aliwahi niambi ima akitolewa tu kuna kundi litakiwasha maana hii itakuwa too much na wao na hilo kundi hawatokubali kamwe nikabet kuwa hakuna kitu kama hicho nikamwambia ima atatolewa na hakuna watakalofanya sasa nasubiri muda tulioahidiana upite aidha nile hela yake au ale yangu
Tunaungana nawe kusubiri
 
Back
Top Bottom