Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!