Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

True 💯 now wananchi wa Zambia hawamtaki
Hata mlete minafano ya namna gani, sisi tunaitaka Chadema kwasababu inajua hitaji la kwanza kwa nchii hii... hitaji la kurekebisha mfumo (katiba), uongozi shindani kwa maendeleo na si uchama.
 
nchi ya ******* sana yaani wanataka tu wakienda chooni uwasifie, wakijampa ufurahie, wakikutemea mate useme yes mheshimiwa. Demokrasia walishaifukia kitambo. Hata marekani ndo taifa baba lao lakin upinzan ina sauti ya kutosha. Nchi gani ukisema ukweli wewe ni mhaini? Washenzi sana na tutaendelea kutekwa na hatutafanya chochote. Mtu mzma na ndeke zake mbili anasema kabisa ati serikal ipo sawa. Mwingne na minyonyo ni kama ananyonyesha majambazi anashabikia ati wanawake wanaweza. Pumbavu zao.
Mpaka sasa hivi Tanganyika Mwanaume ni mmoja tu Joseph Sinde Warioba, huyu peponi ataenda.
 
Wewe una macho na hauoni!, JK ndio Rais mwenyewe
Hakika JK ndio Rais, na yeye ndiye amemtoa Makamu kwa ajili ya mipango ya 2023, Embu fikiria hawa wote wawili wamefanya kazi chini yake kama kulikuwa na mgongano wa mawazo kwanini asiwakutanishe na kumaliza tofauti zao kama zipo?
 
Matatizo ya muungano huu yalianza toka day 1.
Mzee Karume alitaka kuuvunja, akawahiwa
Mzee Jumbe aliuhoji muungano huu wakamuwahi
Kudai eti tatizo ni Samia na Kikwete ni kujisahaulisha tulipotoka na muungano huu.
Wakati G55 wanadai serikali ya Tanganyika Samia sijui alikwa wapi wakati huo hata kwenye CCM hakuwa anajulikana
Mzee Karume aliwahiwa na nani?

Jumbe aliwahiwa na nani, Maalim Shariff Seif na kundi lake wakati huo?

Haya mambo ya kupindisha kukidhi hoja mbovu hayana msingi wowote.

Inajulikana wazi, huko huko Zanzibar na Pemba kumekuwepo na matatizo miaka yote, na kama siyo muungano hali ingekuwa ni tofauti kabisa.

Matatizo yale yale ya huko, sasa yanavushwa na kuletwa huku Tanganyika!

Utashindwa vipi kujuwa uhusika wa utawala wa Kikwete kuwa chanzo cha vurugu kubwa ndani ya muungano; wakati Zanzibar wanajitangazia uhuru kama nchi; mambo ambayo yalikuwa yamefutwa katika muungano ulioasisiwa; utayakanaje haya!

Ukikataa mchango wa Samia leo hii katika
ukuuvunja Muungano utakuwa na tatizo la kipekee kabisa akilini mwako; hata wakati ninatambua uwezo wako wa kuwa na fikra za kutosha katika maswala mengine..

Share:
FacebookXBlueskyLinkedInRedditWhatsAppEmailLink
 
Scanning inaendelea, kwa ujinga uliojengeka ndani ya mfumo kwa miska mingi na kugeuka utamaduni, ni lazima Makamu awe Mkatoliki
Na unajuwa ni nani anayeupenda na kufaidika na upumbavu huu?
 
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.

Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.

Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!

Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...

Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Umeandika kwa uchungu na hisia kali na ukweli ni kwamba umeandika ambacho ni msimamo wa majority ya Watanganyika.
 
Tanganyika imepatwa na Samia, kivuli chake kimewapata Watanganyika.

As long as alijitabainisha hadharani kuwa nini ambacho angaliwaambia Watanzania ni kuipambania katiba mpya, basi itakuwa fursa muhimu kwake na wale wanaomuunga mkono kufanya hivyo sasa ili katiba mpya ipatikane.
Tanganyika kwanza mengine baadaye.
Screenshot_20260825_173427_Google.jpg
 
Back
Top Bottom