20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Hakuna sehemu jamaa kaongelea mzoga, by the way simba akikamata shingo sio kuwa lengo anywe damu, NOPE.Hasira wapi wewe acha kujifanya una hisia za matatizo yasiyo kuhusu wewe!!!
Una uhakika gani kama hiyo habari ni ya kweli... Ulikuepo???
Wapi uliona Simba anakula nyama na kubakiza mifupa!!
Simba anakunywa damu tu, akishiba damu anasepa zake...
Kula mizoga ni kazi ya Fisi.
Lengo ni kumbana pumzi mnyama ili afe...

