Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima

Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima

Lakini ni ngumu kupata ujasiri huo au kuwatuliza wenzio. Ngumu sana asikuambie mtu. Wengi hatuwezi.
Yaaps hilo swala la Kuwaokoa wenzio Katika hali km hio labda km utakua na namna ya kujikinga ukishindwa utabaki ukiumia tuu km n binadam, ila km n mtu utaona sawa tu.
 
Mleta thread tuambie kati yenu mlikuwa wanaume wangapi na wanawake wangapi? Na ulirudi vipi nyumbani?
 
Mm ni 208 /10/15 usiku saa 2 usiku kupewa taarifa ya kifo cha mchumba wangu, mbaya zaidi sikufanikiwa hats kushiriki maziko zaidi ya kuhani msiba baada ya kama miezi mitatu,ndani ya wiki niliisha mwili
 
Acha kujitoa akili kijana. Tunapokea matukio ktk hali tofauti,acha kumcrash mwenzio.

Wewe unataka mtu aelezee tukio litakalo kusisimua mwili zzzz kwani umeambiwa tunapigana shot hapa?
Spare my ribs hahhahahahaa Umenichekesha sana mkuu hahahah dah
 
Lakini ni ngumu kupata ujasiri huo au kuwatuliza wenzio. Ngumu sana asikuambie mtu. Wengi hatuwezi.
Hapa mkuu umenena. Maana varangati la simba wenye nia ya kuua ili wale ni stori ingine kabisa. Yaani kama ni sanctioned hunters, kwenye situations ka hizo kinachowaokoa ni kupiga risiti juu kwa rifle kama kuwatisha na hii mara nyingi husaidia. Ila mikono mtupu na ni ghafla bin vuu asee hata kama mko 4 mlioshiba hao simba wa2 wanaweza wageuza vitoweo kiutaniutani tu.
 
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa yaani Ndugu zako wanatafunwa na Simba unaangalia tu bila hata kupiga makelele au kurusha hata udongo au kuwakojolea hao Simba, RIP Ndugu wa huyu jamaa
Acha masihara na simba wewe.
Kodi tu unakwepa itakua simba hahahahahaaaaaaa
 
Mm ni 208 /10/15 usiku saa 2 usiku kupewa taarifa ya kifo cha mchumba wangu, mbaya zaidi sikufanikiwa hats kushiriki maziko zaidi ya kuhani msiba baada ya kama miezi mitatu,ndani ya wiki niliisha mwili
Inasikitisha..
Pole sana.
 
mkuu simba anakula kama paka yaan kidogokidogo na anakula maeneo ya utumbo anaweza kuamua kuburuza maiti mpaka kwa watoto wake kama anao au kama hana ataweka makaz ya mda siku nzima akila mpaka atakaporidhika na kuwaachia tai au fisi maana hua wanarukaruka pemben kusikilizia mnuso sasa simba wawili wale watu watatu si kweli tena fasta
Ushaambiwa mauza uza ya kijiji.
Isitoshe Simba hao walivamia ndani ya nyumba kwa maana hiyo lazima wale fasta wawahi usidhani hawana akili walijua pale si eneo lao la kujidai sio mstuni nimakazi ya watu anytime watu watafika.
Afu Simba akionja nyama ya binadamu hunogea mno maana binadamu ana chumvi sio ajabu walivyoimaliza.
Kwakweli nakupa pole sana kwa yaliyo kufika mtoa mada ni tukio la kutisha mno nadhani hutosahau maishani zile sauti za mitafuno za wale viumbe maaluni
 
Huu uzi umegeuka mada ya simba. MODS badilisheni heading!
 
Wabongo bwana...
Ili mradi tu na wewe uonekane una kitu special...
Kwahiyo kila mtu aliyefiwa na mama yake aje hapa aanze kulia lia kama wewe then watu wampe pole!!
Si tutapeana pole jukwaa zima sasa!!

Kufiwa na mama watu kibao tumefiwa bwana, wala sio jambo eti special kiviiile mpaka uanze kutoa makamasi...

Tunataka tukio special, ambalo ukisimulia miili yetu isisimke zzzzzz!!

Halafu mijitu humu ilivo mbumbumbu eti inakupa pole..
Mie hata sikupi pole.

Jamaa kazingua sana.
 
asanteni sanaaaaaaaaa ndugu kwa michango na pole zenu pia pole kwa wenzangu waliopatwa na mikasa mbali mbali. Huenda watu hawajawai kutana na mnyama kama huyu ikumbukwe siku hiyo tulikuwa tumelala japo sio usingizi fofofo na hao simba walivamia yaan
ambush hivyo hakuna aliyejiandaa au kutaka kuwakabili kwa vyovyote.
nilibatika kupanda juu ya nguzo huku nishuhudia simba wakiwararua na kuwatafuna bila huruma lakn nlipga kelele japo cna hakika kama zilisikika maana hata majirani zetu nao walivamiwa na kuliwa..........huzuni sanaaa na majonzi sanaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom