Nmependa sn umekuwa muwazi kuwa 'ulimtelekeza'rafiki yangu mwanamke ambae nilimtelekeza akiwa mjamzito walinichezea picha ambalo sitalisahau.....nlitelekeza ujauzito ila baada ya miaka mitatu rafiki yangu alinambia kuna swahiba wake amemualika katika birthday mtoto wake so aliomba nimsndikize nami nkakubali...dah nlichokutana nacho ni moja ya vitu sitosahau yani nihudhulia birthday ya kijana wangu kama mgeni,nkashangaa kuskia mc anaita majina yngu ya utani baba wa mtoto kwa jina langu nlipoangaza vzur ndipo namwona mtoto mwenye birthday akiwa na mama yake,mtoto alikuwa copy yangu yan nlijikutanakosa nguvu hata ya kusema samahan
nakumbukanilipolud niliwaelezadada zangu na mama mdgo yaliyonikutahuku mwanaume chozi likinitoka ila wao kutokana na mshangao walijikuta wakicheka midomo wazi almost siku wiki nzima,ilikuwa nimoja ya aibu kubwa sana katika ujana wangu hadi leo huwa nikimchek kijana wangu huwa najikuta najicheka

Kama Mbweha ni Hyena na Fisi nao watakuwa Jackal au? Bora usingechangia Engineer.

Mkuu pole sana. Sasa ulirudi vipi nyumbani? Ulipata ujasiri wa kutembea peke yako kurudi nyumbani?asanteni sanaaaaaaaaa ndugu kwa michango na pole zenu pia pole kwa wenzangu waliopatwa na mikasa mbali mbali. Huenda watu hawajawai kutana na mnyama kama huyu ikumbukwe siku hiyo tulikuwa tumelala japo sio usingizi fofofo na hao simba walivamia yaan
ambush hivyo hakuna aliyejiandaa au kutaka kuwakabili kwa vyovyote.
nilibatika kupanda juu ya nguzo huku nishuhudia simba wakiwararua na kuwatafuna bila huruma lakn nlipga kelele japo cna hakika kama zilisikika maana hata majirani zetu nao walivamiwa na kuliwa..........huzuni sanaaa na majonzi sanaaaaaaaaaaaaa
Chai ya rangi tena baridi.HESHIMA KWENU WANAJUKWAA.
Mnamo mwaka 2000 mwezi February tukiwa shamba kwa kilimo cha mpunga katika wilaya ya Kilombero(Ifakara) maeneo ya Mchombe mashambani sehemu inayoitwa Simbagungile tulivamiwa na simba majira ya saa 6 kasoro.
Nyumba ilikuwa ya chini yaani imejengwa kwa miti tu na kutumia nyasi kama ukuta na juu nkuezeka kwa nyasi, walikuwa simba wawili na sisi ndani tulikuwa watu wanne, punde tukajikuta katika shambulio nashukuru nifakiwa kupanda juu ya kitanda chetu cha miti na kupanda juu ya nguzo moja wapo ya kile kinyumba chetu.
Huku nikiwa juu nilishuhudia simba wakiwatafuna wale ndugu zangu bila huruma hadi kuwaua wote watatu na kuwatafuna na kubakiza mabaki kama ngozi, fuvu la kichwa na miguu na mikono kwa wote. Walipomaliza wakaingia huku na kule na kutoka nje ya nyumba baadae mmoja akarudi ndani na kutoka pia wale simba walienda kuvamia nyumba zingine mbili.
R.I.P ALL.
JE WEWE MWENZANGU NI TUKIO LIPI AMBALO HUTOWEZA KULISAHAU?
Karibu