Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima

Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima

Great Thinkers bana
Hiv kweli Fumba fumbua simba huyu hapa halaf unaanza Kutengeneza Formation defence, hv unazan n km mourihno akipak bas kuzuiz magol?, Mwingne et umtishie simba kwa kelele au mkojo m nahc simba mwenyewe ataweza azimie kwa kukucheka
 
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa yaani Ndugu zako wanatafunwa na Simba unaangalia tu bila hata kupiga makelele au kurusha hata udongo au kuwakojolea hao Simba, RIP Ndugu wa huyu jamaa
Haaaah nmecheka sana yaan unamkojolea simba hii ni noma
 
Hasira wapi wewe acha kujifanya una hisia za matatizo yasiyo kuhusu wewe!!!

Una uhakika gani kama hiyo habari ni ya kweli... Ulikuepo???

Wapi uliona Simba anakula nyama na kubakiza mifupa!!
Simba anakunywa damu tu, akishiba damu anasepa zake...
Kula mizoga ni kazi ya Fisi.
Simba anakunywa damu tu????
Acha kupotosha aisee!!
Aliyekuhadithia kakudanganya
 
Kitu kimoja pekee kingeweza kuwaokoa ni ummoja na kujiamini. Wangefanya formation ya defence kama wafanyavyo zebra kuwekeana migongo mkiwatazama simba, simba wangeogopa kuwashambulia lakini ni kama wangekuwa ktk eneo wazi nje ya kibanda. Kama waliwaona simba ndio wakakimbilia ndani basi hilo ndio lilikuwa kosa lao kubwa. Simba walishajua jamaa ni waoga hawawezi kudhuru hao simba. Simba mwoga pia lakini ujasiri wa kutowaogopa ni lazima ufundishwe au Siku hiyo Mungu akupe huo ujasiri ili ukuokoe.
hivi mkuu ktk huo mpango ww ungekaa upande wa kumuangalia simba au ungewapa mgongo simba?
 
Kitu kimoja pekee kingeweza kuwaokoa ni ummoja na kujiamini. Wangefanya formation ya defence kama wafanyavyo zebra kuwekeana migongo mkiwatazama simba, simba wangeogopa kuwashambulia lakini ni kama wangekuwa ktk eneo wazi nje ya kibanda. Kama waliwaona simba ndio wakakimbilia ndani basi hilo ndio lilikuwa kosa lao kubwa. Simba walishajua jamaa ni waoga hawawezi kudhuru hao simba. Simba mwoga pia lakini ujasiri wa kutowaogopa ni lazima ufundishwe au Siku hiyo Mungu akupe huo ujasiri ili ukuokoe.
Hakuna kitu kama hicho, mnyama kama huyo akidhamilia kukutafuna huwa harudi nyuma hata uwe na bunduki.
 
Mkuu sio kukukosoa, ila unadhani pale simba anapomkamata mnyama shingo ni kwamba anamnyonya damu?

Sawa hawalagi mizoga per se (yaani sio Modus Operandi/method zao), ila wale simba dume wadogo waliofukuzwa na territorial males yaani nomads wanapozidiwa huwa wana'scavange/kula mizoga.

Check the fact sheet again mkuu.
hajui huyo wala sio wa kuhangaika naye, story zile za kuhadidhiana utotoni ndio anazileta himu😀
 
Wabongo bwana...
Ili mradi tu na wewe uonekane una kitu special...
Kwahiyo kila mtu aliyefiwa na mama yake aje hapa aanze kulia lia kama wewe then watu wampe pole!!
Si tutapeana pole jukwaa zima sasa!!

Kufiwa na mama watu kibao tumefiwa bwana, wala sio jambo eti special kiviiile mpaka uanze kutoa makamasi...

Tunataka tukio special, ambalo ukisimulia miili yetu isisimke zzzzzz!!

Halafu mijitu humu ilivo mbumbumbu eti inakupa pole..
Mie hata sikupi pole.
We jamaa umenichekesha sana. Poleni wote wana JF mlioondokewa na mama!
 
Hasira wapi wewe acha kujifanya una hisia za matatizo yasiyo kuhusu wewe!!!

Una uhakika gani kama hiyo habari ni ya kweli... Ulikuepo???

Wapi uliona Simba anakula nyama na kubakiza mifupa!!
Simba anakunywa damu tu, akishiba damu anasepa zake...
Kula mizoga ni kazi ya Fisi.

we jamaa vp unakera km hauna huruma sepa tu
 
mkuu kuna watu humu wanamzungumzia simba utafikili wanazungumzia mbwa ambaye ukimwagia michanga ana retreat😀
Ingekuwa mamba sawa

Ila simba ukimdindia ,hakugusi na yeye anakuwa na hofu hawezi kukushambulia

Uzembe tu
 
Hakuna kitu kama hicho, mnyama kama huyo akidhamilia kukutafuna huwa harudi nyuma hata uwe na bunduki.
Mmasai na mkuki humkimbiza simba

Simba ukimkimbia ndio umekwisha ila ukitulia anakuwa na hofu
 
Hamna kitu hapo...
Mimi naona huu ni uongo kama sio ukweli uliozidishwa chumvi.

Simba wakikamata windo huwa wanakunywa damu tu na kuondoka.
Hawali mizoga Simba, hiyo ni kazi ya Mbweha (Hyena).

Hata kwenye Animal Planet tunaonaga sana tu.
Wee nae wa wapi? Simba hanyonyi damu mkuu pale shingoni hung'ang'ania hapo ili kumkaba mnyama afe sio kwamba ananyonya damu, na ujue tuu simba mmoja akiwa na njaa ana uwezo wa kula mpaka kilo 100 kwa wakati mmoja
 
Tulikuwa tunawinda

Sasa mimi nilielekea kwenye gari sasa yule mwanzangu alikuwa yupo makini kutafuta target ya kumpiga digidigi sasa kumbe simba alinyata mpaka nyuma ya yule jamaa yangu mimi sikuona sababu kuna ishu nilikuwa nafanya ndani ya gari sasa ile kuinua macho nikashuhudia mchezo mzima sasa yule jamaa akahisi kitu kizito nyuma yake na akili yake akadhani ni Mimi sasa akawa anamsukumiza yule simba na kunitaja "bwana ...desh desh" Sogea bwana unaniharibia target jamaa alihisi kitu tofauti maana ngozi ya binaadamu haina manyoya ile anageuka atizame vizuri mara paap uso kwa uso na simba

Kilichotokea ni siri yangu
 
Ona... Kalagabaho mwingine huyu hapa!! Ndio wale wale...
Hivi serious story za kufiwa na mama mnaziona ni very special??

Mbona karibu kila mtu kafiwa bana.. Kujiendekeza huko!!
Leteni story za jambo usilolisahau ambalo ukisimulia Hapa, wote tutasisimka miili yetu zzzzzzz!!

Jambo la kufiwa na mama yako linakusisimua peke yako, wanaokupa pole wanakupa kinafiki tuu

PROF NDUMILAKUWILI
Titicomb
werrason
Analyse
King Shaat
Tobinho
Malyenge
BAK
merengo90
Mkuu.

Unajua hata jambo la kuona mtu analiwa na simba au lolote uliloshuhudia ni lako peke yako na linamsisimua muhsika tu.

Lakini mwenye akili akivaa viatu vya muhsika, uka imagine black n white za tukio hapo utaon mantiki.

NB.
Uzi ulikuwa ni ishu ambazo mtu hawezi kuzisahau na sio za kusisimua. Si kila kumbukumb na matukio yawe horror...
 
Simba wa Tanzania Anakunywa Damu nyama anakula fisi.... , Acheni Bongo Movie ife, mana maigizo yapo kila mahali

Wonder shall never end only in Tanzania, To hz ppl an animal. Mzee Majuto Jiachie kaz
 
Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima
Hii ndo title ya thread.....acha kuwashwa........kama mwenzako amekumbuka tukio ,wewe huna haja ya kulazimisha, ukitaka usisimuliwe......nenda ukauze 0713......huko....
Umekuja kaaaasiiiiiiii............
😀😀
 
Yani watu wanne wote mnakubali kushambuliwa na simba wabee tu kweli mnatakiwa kuja masaini kuchukua course ya ujasiri na kupambana na viumbe kama hao
Kwanza nikujuze tu.

May be haumjui simba, huyu kiumbe ana uzito wa kutosha, nguvu, mbinu za kupambana (kupigana ndio life lake), ana silaha za asili meno makali na kucha za maana.

Binadamu mkiwa empty handed, hata mkiwa 3 mfui dafu kwa simba mmoja.

Huwezi kumkalisha simba kwa kumpiga ngumi sijui mateke noooo.

Hizo movie tu.

I bet ukikabidhiwa mbwa mmoja tu alieshiba na agresive unanunua defender fasta NDUKIIIII
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom