Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima

Tukio ambalo sitoweza kulisahau daima

H

Hakuna cha kuweka defense wala nn wale jamaa wakikubamba network ya Kichwa inakata kabisa maxima wanatisha eti weka mbali na watoto
Hahaaa... kweli mara nyingi ikitokea hatari kwa ghafla wengi tuna-panic na kukata network. Lakini ukipata ujasiri au ukiwa trained vya kutosha una-react vizuri bila kufikiria sababu procedure za kufuata zinakuwa kama programmed routine kichwani mwako. Na ndio siri ya makomando, marubani mahili, wacheza soka hasa strikers wazuri, they don't think, they just react to the situation accordingly like when they were in the intensive training of the simulated scenario.
 
H

Hakuna cha kuweka defense wala nn wale jamaa wakikubamba network ya Kichwa inakata kabisa maxima wanatisha eti weka mbali na watoto
Hivi una taarifa kwamba hata asiyejua kuogelea,likatokea janga la maji mfano meli kuzama, mtu huyo atajua kuogelea siku hiyo hiyo, ataogelea kujiokoa mpaka nguvu zimuishe ndipo afariki.

Hakuna kitu kinaitwa uoga,mbele ya hatari ya kuondokewa na uhai.
 
Ila sijui kwanini nashindwa kuipokea hii habari.
 
Wabongo bwana...
Ili mradi tu na wewe uonekane una kitu special...
Kwahiyo kila mtu aliyefiwa na mama yake aje hapa aanze kulia lia kama wewe then watu wampe pole!!
Si tutapeana pole jukwaa zima sasa!!

Kufiwa na mama watu kibao tumefiwa bwana, wala sio jambo eti special kiviiile mpaka uanze kutoa makamasi...

Tunataka tukio special, ambalo ukisimulia miili yetu isisimke zzzzzz!!

Halafu mijitu humu ilivo mbumbumbu eti inakupa pole..
Mie hata sikupi pole.
Duh!!!
 
Yan
Kitu kimoja pekee kingeweza kuwaokoa ni ummoja na kujiamini. Wangefanya formation ya defence kama wafanyavyo zebra kuwekeana migongo mkiwatazama simba, simba wangeogopa kuwashambulia lakini ni kama wangekuwa ktk eneo wazi nje ya kibanda. Kama waliwaona simba ndio wakakimbilia ndani basi hilo ndio lilikuwa kosa lao kubwa. Simba walishajua jamaa ni waoga hawawezi kudhuru hao simba. Simba mwoga pia lakini ujasiri wa kutowaogopa ni lazima ufundishwe au Siku hiyo Mungu akupe huo ujasiri ili ukuokoe.
Yangekukuta wala usingekumbuka unayoyaandika hapa
 
Wapi uliona Simba anakula nyama na kubakiza mifupa!!
Simba anakunywa damu tu, akishiba damu anasepa zake...
Kula mizoga ni kazi ya Fisi.

Hivi mkuu kweli umeshikilia hoja yako ya simba kunywa damu tu? Na unaitaje windo jipya (a fresh kill) mzoga asee? Mzoga ni mabaki ya mnyama yaliofikia hatua ya kuoza baada ya kufa, kuliwa (au kutokuliwa) na kuacha to the mercy of Mother Nature.

Simba dume katika mlo mmoja/one seating (pale wanapowinda mnyama mkubwa kama nyati, zebra, etc) anaweza kula mpaka kilo 20-25 za nyama na pengine zaidi ya hapo. Na hivi mnyama kama simba angekuwa wa kunywa damu tu, angekuwa na ufanisi wa ku'survive kiasi hiki tunavyomjua kama mfalme wa nyika?

Labda kama hauko serious (I'm not questioning your seriousness though) na unachosema, lakini kama uko serious... Again, check your facts sheet, bro!.
 
Wabongo bwana...
Ili mradi tu na wewe uonekane una kitu special...
Kwahiyo kila mtu aliyefiwa na mama yake aje hapa aanze kulia lia kama wewe then watu wampe pole!!
Si tutapeana pole jukwaa zima sasa!!

Kufiwa na mama watu kibao tumefiwa bwana, wala sio jambo eti special kiviiile mpaka uanze kutoa makamasi...

Tunataka tukio special, ambalo ukisimulia miili yetu isisimke zzzzzz!!

Halafu mijitu humu ilivo mbumbumbu eti inakupa pole..
Mie hata sikupi pole.
umekuja juzi,ila comment zako nyingi uko negative sana sijui ndo kutafuta umaarufu? acha hizo...maisha hayaendi hivyo kijana...kuna sehemu umesema kwa msisitizo kabisa kuwa mbweha=hyena,are you serious?
wakati mwingine bora ukae kimya kuficha ujinga wako
 
Yan

Yangekukuta wala usingekumbuka unayoyaandika hapa
Mkuu unachosema ni sahihi kabisa wengi tusingweza kufuata huu ushauri ingawa hiyo ndio ilikuwa njia pekee ya kubahatisha kujiokoa wote wanne.
Soma na hii post yangu utanielewa hasa angalia hao masai hapo chini
Jinsi ya kujiokoa ukikutana na simba
How to Survive a Lion Attack
How to Survive a Lion Attack | Smart News | Smithsonian
Mwisho angalia umuhimu wa kuondoa woga na kujiamini
 
R I P,ila huenda wanzake walichoma mifupa ya kambare ndio mwiko wa huko.pole sana jamaa
 
Mkuu sio kukukosoa, ila unadhani pale simba anapomkamata mnyama shingo ni kwamba anamnyonya damu?

Sawa hawalagi mizoga per se (yaani sio Modus Operandi/method zao), ila wale simba dume wadogo waliofukuzwa na territorial males yaani nomads wanapozidiwa huwa wana'scavange/kula mizoga.

Check the fact sheet again mkuu.
Wanafanya yote wanawinda na wanakula mizoga ikiwa na pamoja na kuiba mizoga ya predators wengine .... Haijalishi ni nomads au residents... Dume au jike!!! Weka fact zako sawasawa
 
Nakumbuka siku kama ya leo tarehe 21/04/2016 nilikuwa katika mtihani mzito ambao sitakuja usahau katika maisha yangu yaliyobakia hapa duniani, Niliondokewa na mama yangu mzazi Duniani tarehe 19/04/2016 na tulimzika tarehe 21/04/2016 mkoani Tanga Wilayani Muheza. Ndugu zangu had leo hii sina mama mwenzenu, kitu hiki kinaniumiza sana katika maisha yangu ya kila siku. Siwezi kusahau na huwa halinitoki moyoni. Naumia sana. Bali namuomba mwenyezi mungu amuepushe na adhabu ya kaburi na amuwekee mwanga katika kaburi lake. "Ameen"
Pole sana mpendwa. Umeandika kwa hisia kali sana. Tearly eyes.
 
Wanafanya yote wanawinda na wanakula mizoga ikiwa na pamoja na kuiba mizoga ya predators wengine .... Haijalishi ni nomads au residents... Dume au jike!!! Weka fact zako sawasawa
Uko sawa. But scavenging sio MO yao, tukubaliane kwanza hapa.
Simba ni authentic top-of-the-food-chain predator.
Scavenging mara nyingi ni pale ambapo hamna mawindo tena kipindi cha ukame mkali, au kwa nomads.
Wakati wa shida hamna cha dume wala jike it's "needs must when the devil rides" hata kama ni kula mizoga.
Ila given the good conditions, simba ni wawindaji, mzee! Huwezi kuta kipindi cha masika na mawindo yako ya kutosha af pride lionesses waende kutafuta mizoga, hiyo ni kazi kuu ya fisi japo nae ana instance za kuwinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom