Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Tutumie jukwa hili jili kwa yeyote aliye na sera za udhalilishaji dada zetu tupambane nae. Washenz tu watabia. Hichi kitu cha kutoa O" mbona kila mtu anakishadadia? Watieni madole wanaume walio na element ya kuwadhalilisha! Watatia akili
wengne wanakuja kudhalilisha kwa machungu ya kupewa kibuti basi wataongea hadi vya uongo utafikiri wao ni malaika wanafkri kupata demu kule ni rahisi na njaa zao kwanza wanaume wanaolia lia huku wako weak ndo mana kupoza machungu wanakuja huku lakn haisaidii sana mana wachaga kila siku waolewa
hahahaaaaa wanapenda elaaaaaaa
Hivi ni kabila gani lenye mambo mazuri tu bila mabaya yake? 😛hoto:
...Kama ilivyo kwa wanaume wa Kenya kupendelea zaidi wanawake wa mpakani (Kilimanjaro/Arusha) kuliko wale wa kwao (Kenya), sishangai mtu wa Pwani akisema wanawake wa Kichaga ni wakatili (=ngangari, wenye msimamo).
Mtaanza kusema wanamke wa Kenya wana roho ngumu sio?
Tafsiri plskibo kya ndesi, makimaro,maswai,matarimu,nka masawe, mankya kwi mukai mwaghanye ndesa vandu wandi wakasa wakewatawanya?
Katika kundi la wanawake wenye kuweza mahaba na yale mambo moto ya Tanga, wa Kichaga hana maujuzi sana.
Mkuu na me nlikua naamini hivyo hivyo lakn hawa kina Manka na Kekuu cku hizi wapo vizuri sana kwny hyo sekta
Ujuzi wa mapenzi cku hz hauna cha makabila
Mwisho wa kufikiria huo? Mnatia aibu aisee Kwa reasoning zenu.Tena wa sikuhizi unamuoa, kazi anayo unamletea pesa ndani, kodi mazagazaga unaleta ndani, yeye anajiuza na pesa anapeleka kwao, hawafai kabisa wachaga wote
duh anothee chaga thread... kaka kama unataka kupata mke ama sttle ya kuish na wachaga kwa kuwajua kupitia mitandaon utakuwa umekosea... tabia zinatofautiana mtu had mtu.. tabia za kiasil zipo chache sana tena siku hz zinazid kupotea si kwa wachaga bal kila kabila tz... kama yy huyo kaka kaka yako ni smart enough kichwan haina haja ya kuanza kutafuta matabia ndo utazid kumiss lead mwache ajichanganye kwenye society ili ajifunze mwenyewe unaweza ukamwambia ambavyo sivyo ilivyo ama tabia ambayo utaambiwa wachaga wanayo utakayotaka kumuonya nayo kumbe yy ndo anayo hiyo tabia.. katika maisha tuna hi adjust kutokana na mazingira ndo maana utaona wachaga wako kila kona wanapiva biashara wakifika huko ugenini wanaendana na wenyej lifestyle yao hii ndo sheria mama ya kuish popote huwez kuosh katikakat ya jamii ngen ukaleta lifestyle yako mwenywe utapata shidaMambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
haha inaelekea unamsubir kwa ham huyo mwehu unaona kama ukianza kuwajibu wengine utamaliza wino wa simu/ pc.... hahahamimi sisemi kitu kuhusu kabila langu,huyo kaka ako akifika atajionea mwenyewe hapa kuna jehu moja nalisubiri liropoke tu maana kuanzia asubuhi kaamka na wachaga!!..
likikuchoma kanitangazee!...