no offense,but tunayaona kwenje jamii yetu,baba angu mdogo ashanusurika kwa mwanamke wa kimachame..
yote kisa mademu ------
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
ningeuma kucha huku navuta majani
ingekuwa vipi ndo hotelini afu garden ya ukweli nikakupa ishara uje
naona dalili za mgegedo mbeleni
Mbona kuna uzi humu nimetoka kusoma unasema kama gogo? hapo unasemaje manka?
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
Naona sasa wachaga TUNU YA TAIFA maana its obvious tupo mioyoni mwenu na inaonyesha mnatukubali sana ndo maana kila siku lazima muuabudu uchaga kwa kutusema tu hata kwa mambo yasiyokuwa na mashiko. Come on guys! There are many issues to do, why discussing us every time? Actually you made us more valuable brand!!!:der:
wanatuchafua bana
Mbona mnalisakama sana kabila letu? Mnataka nini? Tutaanza utaratibu wa kusajili makabila mengine mjiunge kuwa wachaga wa kujiandikisha. Kila siku wachaga wachaga, madem wa kichaga madem wa kichaga! Tatizo nini? Gere au?
hadi wanakera wamefikia pabaya hzi chuki za Watanzania zimefka pabaya unakuta jitu zma linaongea pumba halijui chochote ila ameskia tu
kweli kabisa mkuu