Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Soma post zake anajifanya mtakatifu Sana
Kwa wanawake kumbe kuna mtu anaviziwa

We check wanawake wanavo msifu kwa nyimbo na mapambio
ha ha ha naamini wote wako mature watakayoyaamua wameamua wao...hayo ndio maisha mkuu
 
Makosa gani yanaweza kuvumilika?
Navyodhani anything apart from usaliti na vipigo...

I thnk ts wise kuvunja ndoa ama mahusiano in an event of infidelity or physical abuse

Mengine sijui hajibu msgs.,hamtoki out,anakujibu vibaya,hamfanyi tendo nk nk jipe mda kidogo uyarekebishe
 
Single maza wanapondwa humu tu kitaa ndo wanaongoza kwa kuolewa
Kwasababu ya ukomavu. Ingawa sio constant... wengine wanakuwa single mama ila bado ni wasumbufu, ila hawa ni wachache na ukitazama kwa umakini utaona hawajajua maisha bado.. wala hawaoni maana ya kuishi kwao.

Sio kila single mother alijikwaa, wengi wameumizwa tu na mabaharia. Kwaiyo wengi wanapo kutana na hizo kashi kashi huwa wana pitia changamoto flani ambazo huwa hawapo tayari zijuridie kwa namna yoyote. Japo sio kwa wote, kuba wengine ni wehu by nature.

Uzoefu wangu ! Single mother ambao nawafahamu wengi wapo flesh sana ... sijawahi sikia shida zao hata walipo ingia kwa mahusiano mapya japp sio.kwa wote pia.
 
Navyodhani anything apart from usaliti na vipigo...

I thnk ts wise kuvunja ndoa ama mahusiano in an event of infidelity or physical abuse

Mengine sijui hajibu msgs.,hamtoki out,anakujibu vibaya,hamfanyi tendo nk nk jipe mda kidogo uyarekebishe
Mahusiano yanahitaji busara sana
 
Ngoja niwaweke kwenye maombi
Single mother ni wazuri sana. Na ninacho wapendea ni maturity yao, huwezi kuta wana mambo ya kijinga kijinga. Japo sio kwa wote... ila wengi wao huwa wapo vizuri kuanzia malezi ya watoto , familia etc... wanao waponda single mother ni utoto tu, wakikuwa wataachaa [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom