Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Mbarika anaonekana ana mbinu kama za mgambo, anajikuta hardcore!

Inatakiwa aigilizie tu kwakweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Wanawake huku kwetu uswazi ni kama chupa ya chai tu usipoifadhiza chai basi kuna siku unaifadhia chumvi.. Hata uwadisi vipi ila huitajikaji wao uko pale pale.
Hatimaye wembe umeangusha mbuyu, hebu ongeza sauti kidogo mbarika asikie ye mwenyewe umeona bado karudi pale pale kaanza na kutudolishia mwanamke aliyembariki kuliko wote duniani

Sie ni sehemu ya mbavu zenu mtuvumilie
 
Bila shaka umefurahiiiiii kuona jamaa aliposema "ukiona mwanamke anafanya ujinga ujinga basi ujue mwanaume yuko nyuma yake" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanawake mnapenda sana mwanaume anaye justify makosa yenu pale mnapokosea hata kama ni kwa makusudi!?

Hawa wanaume wanao wachukulia wanawake kama watoto au watakafifu mimi huwa nawaita EFFEMINATE ASS-KISSING ZOMBIES. Hawa ndio wanaowaharibu wanawake kwa kukumbatia upuuzi wao na kujipa lawama wao zisizokuwa na ulazima.
Nyuma ya maujinga ya mwanamke yupo mwanaume, na nyuma ya mfanikio ya mwanaume yupo mwanamke.

Na wote tuseme Ameeeeen!
 
Tamaa kila mtu anayo, na hakuna asie penda pesa. Maana pesa ni jawabu la mambo yote. Pia unapo ona mwanamke ana kosea ujue mwanaume yupo nyuma ya hayo makosa, maana mwanaume ni leader kwa mwanamke, so kama kiongozi akiwa boya unategemea nini kwa anae muongoza ?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Lizarazu kila siku anasema wanawake tunahitaji kuongozwa, ila cha ajabu wakituongoza kwenye mauzauza anakimbia responsibility[emoji134][emoji134]

Lizarazu ukuje hapa ujifunze na wala usishupaze shingo.

NB ukiniandikia gazeti unakula makofi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano inatokea mwanamke kachepuka huko mimi naanzaje kuwa responsible?

Jamaa katiririka vingi sana, acha tu nisiseme jambo, maana naogopa makofi[emoji112][emoji112]
 
Kuwa single au kuwa mseja ni zaidi ya kuishi pekeyako. Mimi hilo singo sababu wote niliofikiria ningeishi nao kama patna hadi uzeeni nilishindwa kuwavumilia.

Ni Dadii pekee hadi dakika hii ndo amefanikiwa kuniaminisha kuwa sitazeeka nikiwa singo.

Daima Dumu Milele Amina Dadii.

Love you mingi sana, mmmuuuahhhh!!!

Platinum Matata K.
Midlife crisis victim....😀😀😀
 
Ujue sisi ni ngumu sanaaaaa kuchepuka, sie wavumilivu acha kabisa. Ukiona tumechepuka basi mume anachangia kwa 98% na 2% shetani.

Back
Top Bottom