Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,886
Hahahaha mbele tembea nyuma geuka mkiudhiwa sasa unatuma sms leo inajibiwa keshokutwa....ujitie ke unampanda kichwani sasa uje uone utafurahia show km hujabaki single milele
Nyie watu hapana sema ndo hivyo mko watamu kiaina
Hahaha..!! Kimahusiano Sisi ni watamu mno sio kiana tu.
Sisi hata ubabe wetu uko romantic kiana
Halafu ukionja taste yetu hutatamani tena kurudi kwa wanaume aina ya mleta mada. kapeace [emoji3590][emoji3590][emoji3590]