Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,349
- 62,592
- Thread starter
- #41
Kuna ukweli mkuuHiyo inatokana na elimu mbaya zidi ya wanawake wanazo zipata vijiweni
Kuna ukweli mkuuHiyo inatokana na elimu mbaya zidi ya wanawake wanazo zipata vijiweni
Kuna wanaume walikwisha umizwa kwenye mahusiano,wakimpata single mstaarabu na muelewa maisha yanasongaHebu kuwa practical, hiyo nafasi inapatikanaje? How? Ukisoma nyuzi za kudiscourage kuoa single mamaz unaconclude single mama wengi tutabaki single.
Please lay down a plan and strategy for singles not to remain singles for the rest of their lives; particularly single mothers.
Tatizo hapo litakuwa ni ukomavu katika mahusiano;kila mmoja anaishi kwa kumpima mwenzakeSiku hizi tunaachana kwa ambayo ni madogo mno..yaani mkigombana ke anasubir me ajirudi na asipofanya hivyo ni justification ya kuwa hakua na pendo...uliza wengi swali hili je sababu iliyowaachanisha ex wako unadhani inajitosheleza kuwaachanisha .....
Unafikiri ni kitu gani kinasababisha mtu kuwa singleKina lizarazu watasema unaniwinda
Hongera kwa mtizamo mzuri kuna wanawake wamejeruhiwa sana sasa wakikutana na kina lizarazu wanachanganyikiwa kabisa walau hivi mtizamo kama wako unawapa ahueni wanaume wote mngekuwa hivi hata rate ya masingle mama ingekuwa chini......ila saaaasaa
Jitahidi usimpoteze mkuu, jua linakaribia kuzamaWa kwanza rest in Paradise
Wa pili tuliamua wenyewe kuachana sababu ya dini ' hakuna aliyekuwa tayari kumfata mwenzie.
Wa sahivi ' sir God tusaidie tufike tunapotakiwa kufika 🙏
Hahahahha[emoji1787][emoji1787] halafu wanaume kama mimi tunakuwaga tunajua kweli mahaba na ubandidu wetu huu.Hahahahha nikwambie tu mi napenda sana mwanaume aina yako sababu ndo mood yangu ilipo yani ni mbele tembea nyuma geuka ukinuna hubembelezwi ukizubaa umeliwa ila sasa usiwe serious hivyo muda wote
Nilikumiss tu nikaona nikuite
Kuna wanaume walikwisha umizwa kwenye mahusiano,wakimpata single mstaarabu na muelewa maisha yanasonga
MfyuuuuuKuna ukweli,ingawa mi nadhani zaidi ni tamaa ndio maana wadada wengi wanakimbilia kupenda pesa kabla ya utu
ShikamooTamaa kila mtu anayo, na hakuna asie penda pesa. Maana pesa ni jawabu la mambo yote. Pia unapo ona mwanamke ana kosea ujue mwanaume yupo nyuma ya hayo makosa, maana mwanaume ni leader kwa mwanamke, so kama kiongozi akiwa boya unategemea nini kwa anae muongoza ?
Kunywa bia zote zilizopo kwa mangiUkijaribu kwenye mapenzi kujitoa, ujue umejimaliza mwenyewe. Katika mapenzi anae takiwa kujitoa ni mwanaume, sasa kama wewe mwanamke una kihelehele cha kujitoa tegemea maumivu makali hadi ukome. Kujua kizazi cha nyoka ni rahisi sana labda uwe huna akili nzuri
Ukweli ndo huuSiku hizi tunaachana kwa ambayo ni madogo mno..yaani mkigombana ke anasubir me ajirudi na asipofanya hivyo ni justification ya kuwa hakua na pendo...uliza wengi swali hili je sababu iliyowaachanisha ex wako unadhani inajitosheleza kuwaachanisha .....
Hamna mtu humuKwa maana hiyo unataka kusema wanawake ndio wanaachwa hawaachi si ndio?
Inatokea pale ambapo hakuna namna,mwisho wa siku ni kukubali matokeoKuwa single ni option
Unafikiri ni kitu gani kinasababisha mtu kuwa single
Woooiiiii wanaume wote wangekuwa kama wewe dunia isingekuwa tambala bovuHii sasa ivi ipo karibia dunia yote, hata huko ulaya ipo. Kinacho saidia kwa wachache wetu kuwa na mitazamo hii, kwasababu tumekuwa tukiona baba ana muheshimu mama na ku mtreat kama malkia, hatukuwahi sikia mama yetu ana hoja mbaya zidi ya baba yetu wala hatujawahi sikia majibishano ya wazazi wetu, the same kwa baba kila mala alikuwa akimsifia mama yetu hatujawahi sikia kasolo yoyote ya mama kutoka kwa baba... hili ndio ambalo lime tujenga... tofauti na familia nyingi . Huku chini ni tafrani
Huyo ni mwanamke mwenzako wwNi mtizamo wa wanaume wengi wa kiafrika ni wachache sana wenye mtizamo kama wako
Ndio kwanza saa sita mchanaJitahidi usimpoteze mkuu, jua linakaribia kuzama
Amen[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji41][emoji41].. itakuwa ni kipimo tosha kwake kuwa ni mvulana mtoto. Real man huwezi kuta ana mtreat mwanamke kama chombo kisicho na thamani...