Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,349
- 62,592
- Thread starter
- #21
Umeweka mikakati gani mkuuTutaolewa tu uzee hauwezi nikuta nikiwa single.
Umeweka mikakati gani mkuuTutaolewa tu uzee hauwezi nikuta nikiwa single.
ha ha ha ha haUkijaribu kwenye mapenzi kujitoa, ujue umejimaliza mwenyewe. Katika mapenzi anae takiwa kujitoa ni mwanaume, sasa kama wewe mwanamke una kihelehele cha kujitoa tegemea maumivu makali hadi ukome. Kujua kizazi cha nyoka ni rahisi sana labda uwe huna akili nzuri
ha ha ha ha mkuu tupe uzoefuKwa maana hiyo unataka kusema wanawake ndio wanaachwa hawaachi si ndio?
Makosa gani yanaweza kuvumilika?Sio kila kosa muachane
Mengine vumilieni
Tatizo mkuu ni moyo;unajikuta umependa sehemu ambayo si sahihiKwa akili zangu na mawazo yangu, mkabidhi Mungu mambo yako yote, usitegemee akili zako na nguvu zako tu, kwa mambo usiyo yajua hasa ya mbeleni, ila kama utamkabizi Mungu, maana yeye anajua baadae yako atakufanyia wepesi, haimaanishi hutokutana na changamoto za hapa na pale.
Mbili, nidhamu inatakiwa irudi kuanzia ngazi ya nyumbani kwenu .. kwa baba na mama yako, jamii kuwa na maadili huanzia ngazi ya nyumbani.
Tatuu, jifunze kutambua athari za hayo mambo kwa undani kabisa, alafu weka mzani u balance ujue kipi kinafaa na kipi hakifai
Yaani wanawafanya wanawake kama wapo kambi ya kijeshi .....nyuma geuka mbele tembea dah[emoji41][emoji41].. itakuwa ni kipimo tosha kwake kuwa ni mvulana mtoto. Real man huwezi kuta ana mtreat mwanamke kama chombo kisicho na thamani...
Ha ha ha ha hongera kwa kuvuka hicho kihunziKuwa single au kuwa mseja ni zaidi ya kuishi pekeyako. Mimi hilo singo sababu wote niliofikiria ningeishi nao kama patna hadi uzeeni nilishindwa kuwavumilia.
Ni Dadii pekee hadi dakika hii ndo amefanikiwa kuniaminisha kuwa sitazeeka nikiwa singo.
Daima Dumu Milele Amina Dadii.
Love you mingi sana, mmmuuuahhhh!!!
Platinum Matata K.
Ni mtizamo wa wanaume wengi wa kiafrika ni wachache sana wenye mtizamo kama wakoHiyo inatokana na elimu mbaya zidi ya wanawake wanazo zipata vijiweni
Bila shaka umefurahiiiiii kuona jamaa aliposema "ukiona mwanamke anafanya ujinga ujinga basi ujue mwanaume yuko nyuma yake" 🤣🤣🤣Ngoja Lizarazu aione hii atakuita mwanaume bwege
Hahahahha nikwambie tu mi napenda sana mwanaume aina yako sababu ndo mood yangu ilipo yani ni mbele tembea nyuma geuka ukinuna hubembelezwi ukizubaa umeliwa ila sasa usiwe serious hivyo muda woteBila shaka umefurahiiiiii kuona jamaa aliposema "ukiona mwanamke anafanya ujinga ujinga basi ujue mwanaume yuko nyuma yake" 🤣🤣🤣
Wanawake mnapenda sana mwanaume anaye justify makosa yenu pale mnapokosea hata kama ni kwa makusudi!?
Hawa wanaume wanao wachukulia wanawake kama watoto au watakafifu mimi huwa nawaita EFFEMINATE ASS-KISSING ZOMBIES. Hawa ndio wanaowaharibu wanawake kwa kukumbatia upuuzi wao na kujipa lawama wao zisizokuwa na ulazima.
Wa kwanza rest in ParadiseKwa wewe mwanamke kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza au kwa nini unaendelea kuachwa? Na wewe mwanaume kwa nini ulimuacha mpenzi wako au kwa nini unaendelea kuacha?Haya maswali yanahitaji majibu ili tujirekebishe kabla hatujawa wazee au jua kuzama tukiwa single.
Unakuta mtoto analelewa na familia mbayo baba ana mdiss mama na mama ana mdiss baba, kwaiyo watoto toka chini wanakua na picha mbaya juu ya jinsia flani. Unakuta baba ana muonya mwana awaogope wanawake, asiwe muwazi kwa wanawake, hiyo ikishajengeka kwa mtoto wa kiume inakuwa shida. Ila sie hatujalelewa hivyo.. sijawahi sikia negative juu ya mwanamke kutoka kwa baba yangu[emoji41][emoji41]
Hii sasa ivi ipo karibia dunia yote, hata huko ulaya ipo. Kinacho saidia kwa wachache wetu kuwa na mitazamo hii, kwasababu tumekuwa tukiona baba ana muheshimu mama na ku mtreat kama malkia, hatukuwahi sikia mama yetu ana hoja mbaya zidi ya baba yetu wala hatujawahi sikia majibishano ya wazazi wetu, the same kwa baba kila mala alikuwa akimsifia mama yetu hatujawahi sikia kasolo yoyote ya mama kutoka kwa baba... hili ndio ambalo lime tujenga... tofauti na familia nyingi . Huku chini ni tafrani
Ha ha ha ha hongera kwa kuvuka hicho kihunzi
😁😁😁😁... una mbwe mbweee weweee
Bado ana nafasi ya kupata msaidizi
Ha ha ha haYaani wanawafanya wanawake kama wapo kambi ya kijeshi .....nyuma geuka mbele tembea dah