Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,456
Haya.mwanaume aachwi bali anaacha!!
Haya.mwanaume aachwi bali anaacha!!
Mimi nakula ubwabwa kila siku sio mpaka sikukuu....au sijakuelewa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu acha kukimbia swali langu bwana!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4] jamaa ashaanza kuingia pmJamaa ana technic kali kinoma lazima atoke na mtu hapa
Naona mnavoingia kwenye mtego
Ngoja na mimi nitumie hii technic
Kitaa kipi hiko......Single maza wanapondwa humu tu kitaa ndo wanaongoza kwa kuolewa
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mimi nakula ubwabwa kila siku sio mpaka sikukuu....au sijakuelewa?
It seems like today uko kwenye gud mood.. Coz Every comment unajibu in a peacefully way tofauti na siku zingineNdo unambie kakufanyia nini mpaka abarikiwe kuliko sie wengine wote
Nipo mkuu, naona leo utalala vizuriKwema naona upo
Duh acha tuNipo mkuu, naona leo utalala vizuri
Naona bwana Rashid leo amewafanya mtabasamu kidogo angalau hata bia zinanyweka weekend hii.Duh acha tu
Asante sana shabiki wangu wa damu nakuahidi sitakuangushaIt seems like today uko kwenye gud mood.. Coz Every comment unajibu in a peacefully way tofauti na siku zingine
Dada Hakuna kitu kizur dunian Kama kupendwa rahaaa SanaNdo unambie kakufanyia nini mpaka abarikiwe kuliko sie wengine wote
Mkuu Bora mimi mgambo ww sungu sungu poor technicMbarika anaonekana ana mbinu kama za mgambo, anajikuta hardcore!
Inatakiwa aigilizie tu kwakweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Wanawake ni kama chupa ya chai huku kwetu uswazi usipoifadhia chai basi kuna siku utaifadhia chumvi.. Hata uwadisi vipi ila huitajikaji wao uko pale pale.
Dada nampenda Mke wangu sanaa aiseHatimaye wembe umeangusha mbuyu, hebu ongeza sauti kidogo mbarika asikie ye mwenyewe umeona bado karudi pale pale kaanza na kutudolishia mwanamke aliyembariki kuliko wote duniani
Sie ni sehemu ya mbavu zenu mtuvumilie
🤣🤣🤣🤣🤣Tunawavumilia mkiwa chini na hizi flat zetu mkizipata mnataka chura wa kunesa nesa, bora kubaki single
Njoo pm unambie ili na mie huyu niliyenae anibariki kuliko wanawake wote dunianiDada Hakuna kitu kizur dunian Kama kupendwa rahaaa Sana
Halafu na mambo yetu yale acha tuu nisitoe Siri za ndan
Mpaka naona wivu unavyompenda tatizo hujanipa sababu aliyokufanya umpende hivyoDada nampenda Mke wangu sanaa aise
Huku TanzaniaKitaa kipi hiko......
Midlife crisis victim....😀😀😀