Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,825
- Thread starter
- #61
Maji ya gold kwa mawazo goldUkikanyaga bar unakuwa na nyuzi za busara sana
Maji ya gold kwa mawazo goldUkikanyaga bar unakuwa na nyuzi za busara sana
Hahahahha[emoji1787][emoji1787] halafu wanaume kama mimi tunakuwaga tunajua kweli mahaba na ubandidu wetu huu.
Tukizama penzini na wewe hadi unajihisi wewe ndio mmiliki wa hii dunia, unaweza ukahisi wewe chumbani kwako ni kwenye space huko hapa kwenye uso wa dunia ni sebuleni pakujambia tu kisha unarudi zako chumbani.
Tena ukiwa na mimi ndio utaenjoy sana maana mahaba utakayopata hapa hata yale ya Julieth na Romeo yanasubiri
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
ha ha ha ha inabidi ulegeze masharti mambo yaende poaNdio kwanza saa sita mchana
Tupe uzoefu mkuuKwahiyo ni mwanamke tu ndiye anaachwa na mwanaume tu ndiye muachaji sio?
Uongo acha fix mzee baba Kama umempenda Nenda straight acha fix zako uchwara aiseHahahahha[emoji1787][emoji1787] halafu wanaume kama mimi tunakuwaga tunajua kweli mahaba na ubandidu wetu huu.
Tukizama penzini na wewe hadi unajihisi wewe ndio mmiliki wa hii dunia, unaweza ukahisi wewe chumbani kwako ni kwenye space huko hapa kwenye uso wa dunia ni sebuleni pakujambia tu kisha unarudi zako chumbani.
Tena ukiwa na mimi ndio utaenjoy sana maana mahaba utakayopata hapa hata yale ya Julieth na Romeo yanasubiri
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Ni kweli mkuu,kama kila mmoja anataka awe juu hapo usingle hautaisha kamwe.Mengi tu kila mtu anazo sababu zake
Lakini kutojishusha inachangia pakubwa
Ha ha ha hah aUongo acha fix mzee baba Kama umempenda Nenda straight acha fix zako uchwara aise
Yupi mkuu?Huyo ni mwanamke mwenzako ww
Jamaa ana technic kali kinoma lazima atoke na mtu hapaKunywa bia zote zilizopo kwa mangi
Safi naona kuku Bado kidogo aingie mkenge aliweWoooiiiii wanaume wote wangekuwa kama wewe dunia isingekuwa tambala bovu
Ipi hiyo mkuu....hapa tunacheka tu mkuu,maradhi ni mengi maisha matamu piaJamaa ana technic kali kinoma lazima atoke na mtu hapa
Naona mnavoingia kwenye mtego
Ngoja na mimi nitumie hii technic
Leta wazo mkuuMfyuuuuu
Ha ha ha hah a
Wapo wanaojitambua kabisa wanakuwekea mazingiraUnaposema mtu ajitahidi, hasa mwanamke, asizeeke single unataka afanye nini hasa?
Ukweli ni kwamba wanawake wanasubiri kufuatwa au kutafutwa na wanaume? Mwanamke hata kama anamjua mtu ni single father au just single man hawezi kumtaka waanzishe uhusiano serious. Atapewa jina na nakunangwa. Anasubiri kuolewa, man, single mama wengi watasubiri hadi uzeeni kama hakuna mwanaume anayemtaka kumuoa.
Ni kweli mkuuWanawake ni kunguru, hawafugiki. Ni vigumu kujua ni nini hasa wanawake wanahitaji kwa kuwa akili zao wanazijua wao wenyewe. Tuzidi kuwaombea.
Duh i saayyy[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] "let" ndo nn mkuu naomba usiwe umemaanisha rate maana dahNahisi style za maisha ya sasa yanachangia sana, ndio maana utaona let ya watu kuachana kushuka miaka ya 70... ni ndogo kulinganisha na 80 kuja juu...
Soma post zake anajifanya mtakatifu SanaIpi hiyo mkuu....hapa tunacheka tu mkuu,maradhi ni mengi maisha matamu pia
Kwanini mkuu? Wanakuwa wanajua walipojikwaa? Enhee tupe uzoefu wako.Hakuna wanawake wazuri wa kuoa kama single mother.....
Uongo acha fix mzee baba Kama umempenda Nenda straight acha fix zako uchwara aise