Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Sio kila kosa muachane
Mengine vumilieni
Wanaume tunavumilia mengi Sana na huwa hatuongei!!
Lakini ukichepuka nikajua au nikapata habari unachepuka ni Bora niwe nanunua malaya tu ifahamike moja.
 
Wanaume tunavumilia mengi Sana na huwa hatuongei!!
Lakini ukichepuka nikajua au nikapata habari unachepuka ni Bora niwe nanunua malaya tu ifahamike moja.
Mnavumilia ya kawaida tu
Ambayo hata nyie km binadamu mnawakosea wake zenu

Uvumilivu wa kweli ni siku ukisalitiwa😅😂
 
Kwa wewe mwanamke kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza au kwa nini unaendelea kuachwa? Na wewe mwanaume kwa nini ulimuacha mpenzi wako au kwa nini unaendelea kuacha?Haya maswali yanahitaji majibu ili tujirekebishe kabla hatujawa wazee au jua kuzama tukiwa single.
HADI SASA HAKUNA TAFITI ZINAZOONYESHA MADHARA YA MOJA KWA MOJA KUWA SINGLE HADI KIFO AMA UZEEE
 
HADI SASA HAKUNA TAFITI ZINAZOONYESHA MADHARA YA MOJA KWA MOJA KUWA SINGLE HADI KIFO AMA UZEEE
Hili suala halihitaji utafiti,bali ni wewe mwenyewe ujipime tu......ni sawa na ushinde bila kula huku ukitegemea watafiti ndio waje wakupe majibu ya kuwa wewe unahisi njaa
 
Kwa akili zangu na mawazo yangu, mkabidhi Mungu mambo yako yote, usitegemee akili zako na nguvu zako tu, kwa mambo usiyo yajua hasa ya mbeleni, ila kama utamkabizi Mungu, maana yeye anajua baadae yako atakufanyia wepesi, haimaanishi hutokutana na changamoto za hapa na pale.

Mbili, nidhamu inatakiwa irudi kuanzia ngazi ya nyumbani kwenu .. kwa baba na mama yako, jamii kuwa na maadili huanzia ngazi ya nyumbani.

Tatuu, jifunze kutambua athari za hayo mambo kwa undani kabisa, alafu weka mzani u balance ujue kipi kinafaa na kipi hakifai
Sijui tu ila leo wacha niseme, hua nafurahishwa sana na michango yako, namna unavyoandika inaonyesha una hofu ya Mungu na umelelewa katika maadili sijui nje ya keyboard ukoje ila maandishi yanaashiria hivyo....God bless you
 
Hili suala halihitaji utafiti,bali ni wewe mwenyewe ujipime tu......ni sawa na ushinde bila kula huku ukitegemea watafiti ndio waje wakupe majibu ya kuwa wewe unahisi njaa
MADHARA YA KUSHINDA NJAA YANAJULIKANA HAYAHITAJI MASTERS AMA PHD KUYAJUA, HAKUNA MAHALA PALIPOSEMA KUSHINDA SINGLE MAISHANI KUNA EFFECT, MASUALA YA KUJIPIMA UNAJIPIMA WEWE KUJILINGANISHA NA NANI?? NA KWA NN?? LEAVE MARRIED OR SINGLE NI INELASTIC LIFE CHOICE.
 
Kiukweli walio single sio kuwa wanapenda bali hutokea kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wao na wanakuwa wanajifariji katika kukubali matokeo,pia kumbuka huwa wanaumia sana katika mihoyo yao
 
Kiukweli walio single sio kuwa wanapenda bali hutokea kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wao na wanakuwa wanajifariji katika kukubali matokeo,pia kumbuka huwa wanaumia sana katika mihoyo yao
I dont think so, though it might be so depending on your lifestyle or a style u admire to be so.
 
*SAVE YOUR HUSBAND!*

Why do husbands in Africa die most times before wives? A husband in Africa in most cases is under intense tension because he is responsible for:

● *Children school fees*

● *house rentals*

● *Electricity bills*

● *Medical bills*

● *Car fuel and repairs*

● *Feeding of family*

● *Clothes for children*

● *Christmas and New year bills*

● *Furniture & House maintenance*

● *In-laws demand*

● *His own aged parents*

● *His siblings most times*

● *His wife's demands*

● *Erecting Building*

● *Religious demands*

● *Family social bills*

● *Electronics bills*

● *Recharge cards*

● *Extended family bills*

● *Community demands*

On top of the above, he also faces:

● *Wife stress/insults*

● *Boss stress at work*

● *Police stress on the way*

● *Area boys stress*

● *Friends stress*

● *Economy stress*

● *Fear of job loss*

● *Unemployment pains*

● *Children misbehaviour*

● *Neighbours stress*

● *Bank loan payment stress*

● *Enemies stress*

● *Demonic attack stress*

● *Sex stress*

..and so on! OMG!!

Are these reasons not enough for all African Wives to understand and give their husbands peace at home? Are men not trying? How can an African man with these kind of loads be romantic like an American man?
Women, please give your husband's peace at home. Encourage your husbands. Stop being sarcastic to them. Except if you like to join the widows club early! Note:
That club is not funny. Ask members. Help your husband. Contribute to the family. Be a helper. Be submissive. Stop nagging. Build your home and marriage. It is not greener outside there. Don't be deceived!!
Help your husband to live longer like you.

FORWARD THIS TO ALL MEN & WOMEN ON YOUR CONTACT LIST. LET US PROLONG THE LIFE OF OUR MEN!!
 
Wanawake wa sasa hivi (hata walioolewa) wote ni madanga tu.
 
Back
Top Bottom