Tujikumbushe vitabu vya zamani

Tujikumbushe vitabu vya zamani

hiki ndio kitabu bora Tanzania Hakijapata Kutokea Mpaka Leo ``HOFU`` kimeandikwa na A.E.MUSIBA muhusika mkuu katika kitabu hiki anaitwa WILLY GAMBA,kilichapishwa 1988 ni kizuri sana kwa wale wanaokijua na kama hauna naweza kukupa ukitoe copy ukakisome maana hakipatikaniki

Mkuu nitakipataje
 
Kibanga kampiga mkoloni.. Kikosi cha kisasi na Njama mwandishi msiba staring willy Gamba..
 
hiki ndio kitabu bora Tanzania Hakijapata Kutokea Mpaka Leo ``HOFU`` kimeandikwa na A.E.MUSIBA muhusika mkuu katika kitabu hiki anaitwa WILLY GAMBA,kilichapishwa 1988 ni kizuri sana kwa wale wanaokijua na kama hauna naweza kukupa ukitoe copy ukakisome maana
hakipatikaniki
Kuna haja ya kukichapisha tena na kukitengenezea bongo movie.
 
Tutarudi na roho zetu, mpelelezi Joram Kiango, mtunzi (Ben R Mtobwa)Sizitaki pesa zako zinanuka (mtunzi Hamie Rajabu)
 
Bandugu mmenikumbusha mbali sana, kweli zamani elimu ilikuwa kiboko

Mmenikumbusha na kale kitabu ka Kinyakyusa kaliko itwa 'AKAYA AKANUNU'.
 
Aha niko Zanzibar mwenye hekaya za abu nuwasi wagagagigikoko anifahamishe jinsi ya kuvipata! my little ones needs to reads them!
 
Lakini hivo vitabu kama vilikatazwa vile, vilikuwa kama vinafundisha njia za ujambazi
 
Wakati huyu anaiba, mi nimesgehenesha maktaba hiyo ambayo sawa ni Chuo Kikuu kitengo cha Sheria
 
Meza hiyo iliwasaidia Bulicheka na make wake baada ya chombo chao kuzama majini. Baada ya kukamilisha ujenzi maskini wakakurupuliwa na mbona toka juu ya mnazi. Hivukua anayejua kwa nini vitabu hivi viliondolewa?
 
Umesahau hadithi za Mpiga filimbi wa Harmelin, Mfalme Huihui katika nchi ya wagagagigikoko, Bulicheka na Lizabeta, Mfalme Majinun, Roza na Paulo ana mkono michafu, KALUMEKENGE ALIYEKATAA KWENDA SHULE!!

Yaani ilikuwa raha tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom