Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

Wanafunzi na badhi ya wazee wa mtaani kwetu walikuwa wananiita
"MIZUGO..😂"

Kutokana na tabia yangu ya kupotea ghafla mazingira ya shule... Na kuingia kutulia mitaani
Wazee wakiliza mbona haupo shule nasema "Nazuga zuga kidogo narudi skuli😂😂😂 imetoka iyo"

Nilifanya MIZUGO Hadi kwenye mahafari.
 
Mi hata sikumbuki ila nakumbuka discpline master aliwahi kuniita "Notorious" baada ya misala kuzidi 😂
 
Back
Top Bottom