Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Uzi wa mwezi January
Bahati mbaya december atakuja mtu hapa kusema uzi wa mwaka ulikuwa huu....ambao utasema "Mbinu nilizotumia kutoroka fumanizi la mke wa mtu" na ukifuatilia thread hiyo utakuta inasoma hadi pages 23 jinsi watu walivyochangia ila huu unaosambaza elimu bure hapa utakuwa umeshasahaulika.ukimsikiliza D.Trump utamchukia bure tu ila mengi anayoyaongea ukikaa chini ukatafakari kwa kina bila mihemko utakuta yale anayoyasema kutuhusu mengi yana ukweli kabisa tena ukweli usioweza kupingika hata kwa fimbo.
 
Mkuu nasikia kuna baadhi ya nchi huwezi kuingia kwenye anga zao,hizo njia za ndege mnazitengenezaje vip na kwa vigezo vipii..... vile vile nasikia baadhi ya nchi kama china huwezi kupita kwenye anga lao ovyo ukiwa hewani nyie mnachukua utaratibu gani??? au kila nchi mnatoa taarifa???
Sidhani kama kuna nchi ambayo imezuia kabisa anga lake lisipitwe na ndege ya Kiraia. Kwa mfano hiyo China unayosema, jiulize ndege zinazokwenda huko zinapita wapi. Sasa hivi nchi karibia zote zinategemeana japo kuna maeneo ambayo unaweza kuelekezwa usipite la route zipo za kupita ndege za kiraia. Utaratibu wa anga kwa ndege za kiraia upo chini ya International Civil Aviation Organization kukiwa na sheria na kanuni maalum.
 
Tatizo lako unauliza maswali ya kutaka kujua kama najua ama la! Kwa sababu unaonesha unauliza vitu ambavyo unavijua. Umeanza na nacelle sasa tena pylons. Hii ni ushahidi kuwa una knowledge na ndege. Samahani mkuu kama umesahau rejea vitabu vyako ulivyowahi kusoma.
Vizuri sana,kupimana imani tu. anataka ukosee akukosoe upiteze imani tulioijenga kwako. Atupishe sie
 
asante mkuu kwa majibu mwanana kabisa nina maswali mengine hapa
swali 1: naskia kwenye ndege kuna kifaa ambacho hata ndege ilipuke chenyewe huwa hakiharibiki naomba kujua kimetengenezwa na material gani,

swali 2:icho kifaa kina kazi gani

3: wewe kama engineer una recommend ndege aina gani kwa biashara
 
Jibu ni ndiyo inaweza kuangusha ndege. Kwanza turbulence ni nini. Turbulence inatokea pale ambapo strealine air flow imepotea hivyo kunakuwa na loss of LOSS OF LIFT. Ukipoteza lift unategemea nini rafiki yangu, vinginevyo urudishe lift iliyoanza kupotea. Sasa inategemea na sababu ya hiyo turbulence. Kwa mfano ndege ndogo ikiifuata ndege kubwa kwa karibu zaidi, ndege ndogo inaweza kuanguka kwa ajilivya kupoteza streamline flow kutokana na vortices za ndege kubwa.


Majibu yako hapa mkuu umenikumbusha Fluid Dynamics. Good job!
 
Hapana mkuu haijawahi kutokea. Kuunda ndege hasa helicopter iweze kupaa ni gumzo. Zaidi tutaishia kutengeneza midoli. Kama stori ya yule jamaa sikumbuki alikuwa wa wapi waliyedai katengeneza helikopta kwa kutumia vifaa vya gari, mimi nilibaki kucheka. Jambo kama hulijui ni sawa na usiku wa giza. Sifa ya kwanza ya vifaa vinavyounda ndege ni imara lakini vyepesi. Suala la injini ya gari kurusha helikopta ni ndoto za mchana kwa sababu hata kama utaunga unga shaft zako pamoja na mapangaboyi yako, haiwezi kuwa na power ya kutosha. Ndege kila kifaa kilichopo kipo kwa hesabu maalum. TCAA walivyopiga marufuku watu wakalalamika eti tunaua vipaji, mimi niliona ni kwa sababu watu hawaelewi tu. Laiti wangeelewa hata kidogo kuhusu airworthness wangeandamana kwenda kumzuia yule jamaa asilete majanga ya majariribio ya kitu asichokuwa na ufahamu nacho.
Hayo anasoma pilot au course gani inahusika na izo details. Samahani naomba kufahamu. Please check me at these numbers 0625755889 napenda kuwa pilot tatizo school fee ndio tatizo. Is there scholarships for pilot?? Please assist me.
 
asante mkuu kwa majibu mwanana kabisa nina swali lingine hapa
swali: naskia kwenye ndege kuna kifaa ambacho hata ndege ilipuke chenyewe huwa hakiharibiki naomba kujua kimetengenezwa na material gani,pia icho kifaa kina kazi gani
Ndiyo kifaa hiki kipo kwenye ndege miongoni mwa vifaa vya avionics. Kifaa hiki kazi yake ni kurekodi taarifa za ndege tangu inapoanza safari. Kifaa hiki kipo protected na material ni ngumu kushika moto.
 
Mkuu, tunakushukuru kwa nondo hizi adimu.

Kuna kifaa kinajulikana kama black box tunakosikiaga, je kinafanyeje kazi ? Kina ukubwa gani ? Kimetengenezwa na material gani kisiungue au kuharibika na maji ?
 
asante mkuu kwa majibu mwanana kabisa nina maswali mengine hapa
swali 1: naskia kwenye ndege kuna kifaa ambacho hata ndege ilipuke chenyewe huwa hakiharibiki naomba kujua kimetengenezwa na material gani,

swali 2:icho kifaa kina kazi gani

3: wewe kama engineer una recommend ndege aina gani kwa biashara
Wanakiita black box kama sikosei
 
Autopilot nimeishia kuendesha kwenye gari tu
Asante sana kwa nondo hizi
 
Back
Top Bottom