Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Nimependa maswali yako...lakini street rumors nilisikiaga eti kile kioo hakionyeshi...shebby njoo utusaidie huku please..Samahani kwenye kioo cha pale mbele Unaweza kuona mbele kuna nini? Je kuna uwezekano wa ndege kuwa zinafukuzana kama mabus ya kisbo huku chini? Embu tuambie sasa vigezo vinavyotumika kusomea urushaji wa ndege za Abiria