Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Hongera sana mkuu,nimeupenda huu Uzi. Kwa kweli Nilikuwa napenda sana kuwa pilot lakini physics ilinipiga chenga ya pere nikaangukia pua.
Swali langu, unajuaje njia za ndege?? As tunaona barabarani kuna michoro mieupe na mieusi,pengine ya njano. Huko huu mnajua jua vipi??
Na mkipita njia sio inakuaje?
Swali langu La pili nimeona unaongelea kuhusu hali ya hewa,ndege inatakiwa kuruka katika hali ya hewa ipi? Maana zingine naona hata mvua ikinyesha inakata mawingu. Na hali ya hewa ipi ukiachana na kimbunga na mvua kubwa ya mawe ambazo zina athiri safari ya ndege?
Swali la mwisho,niliwahi sikia ndege iki park kushusha au kupandisha abiria inalipia uwanja,ni kweli hili? Nisaidie ufafanuzi kama itawezekana.
Huu Uzi,Uzi of the century... Big up