Nafikiri chuo cha NIT kina hizo koziNashukuru kwa somo hili ndugu. Mimi napenda sana kuwa ruban ttzo sijui gharama halisi za koz hucka na kama hapa nchini kuna chuo hucka. Msaada tafadhali
Mlango upi wa nyuma mkuu? Na unafunguka kwa ajili gani?
Asante mkuuUnajibu vzuri sana mkuu. Nataka kujua wakati watu wapo ndani ya ndege je? Wanatumia oxygen inayotoka wapi? Na kwann ndege ikitaka ku crush vile vidude vinavyo toka automatically vnakuwa toa wapi hewa? Asante
Waache waendelee kulala kwenye chandarua chenye dawa simple tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nondo hizi.
Huyo mzazi wa kwenye tangazo hilo la redio ni lazima ajibu kuwa ni sayansi ya hali ya juu sana.
Gas turbine engine zinatumia mafuta ya taa (kerosene) isipokuwa yameongezwa chemicals fulani ili kuongeza baadhi ya sifa.Kuhusu mafuta kuna jamaa alikua anauza mafuta ya taa huku kitaa bas unaambiwa kila akiwa anashusha polic wakimuotea wanapiga hela then wanatembea ila inasemekana jamaa alikua anauza mafuta ya ndege..je kuna uhusiano wowote kati ya kati ya mafuta ya taa ya kitaa na hayo ya ndege?
Asante mkuu
Nianze na swali lako la kwanza ambalo nimelielewa vizuri.
Kuhusu Oxygen inayopatika kwenye ndege ni kwamba;
Kwa ndege ndogo hizi ambazo zinatembelea katika altitude ya kawaida yaani isiyo zaidi ya futi 12,000 unatumia tu oxygen ambayo inapatika kawaida kwenye atmosphere kwa sababu bado inakuwa inapatika kwa wingi. Lakini unapozidi kwenda juu zaidi air density hupungua hivyo oxygen nayo hupungua zaidi ukizingatia oxygen ni asilimia 21 tu ya hewa. Hivyo basi kwdnye ndege zinazokwenda juu zaidi kuna mitungi ya kusupply oxygen kwenye cabin kwa ujumla na ile midogo midogo kwa ajili ya mtu mmoja mmoja hasa yule anaweza kujikuta ile kwenye cabin haimtoshi.
Swali lako la pili sijaelewa unaongelea vitu gani nimebaki tu nahisi labda unamaanisha vile vi mitungi vidogo ambavyo huwa vinachomoka automatically. Kama ni hivyo basi ni kwamba mitungi yote ya hewa huwa inajazwa na mafundi ndege au mainjinia wa matengengenezo. Ni mojawapo ya majukumu ya kazi kuhakikisha kabla ndege haijaruka oxygen bottles zote zipo katika kiwango kinachotakiwa. Inaitwa Oxygen replenishing.
Itakuwa mlifika sehemu ambayo kulikuwa na shida jinsi hewa inavyoflow. Kuna maeneo ambayo huwa ndege ikifika inatikiswa kwa sababu kutokuwepo uwiano mzuri wa hewa kuflow. Hii hali mimi nimeiexperience maeneo ya Kigoma huko. Ni kawaida tu mkuu hayo ndo mawimbi ya angani.kuna siku nlipanda fastjet tukiwa angani kulutokea mshtuko as if gari imepita kwenye tuta bila kupunguza mwendo,
huwa najiuliza sana hali ile inasababishwa na nn mkuu??
Sina imani kama kweli unafahamu umri wangu ukiachilia mbali kunifahamu mimi. Unamaanisha nacelle ni kishirikishi cha injini? Labda mimi nikuulize tu, injini ya ndege inakaa wapi?
Hizi oxygen mask zimeunganishwa na mitungi ya oxygen. Ikitokea ndege imefika mahali ambapo oxygen imepungua na vifaa vya kudetect hali hiyo vikadetect kuwa ovygen imepungua kwenye cabin basi huwa zinafyatuka automatically kwa kila mtu na yake. Ndege ina vifaa vingi vya kugundua kila hali.View attachment 680769 Asante....namaanisha hiz oxygen mask huwa zinatoa wap hyo oxygen? wakati watu walikuwa hawitumii b4 and still wapo on same flight.
Na hili hutokea wakati gani hasa?
Tuliishia kuibukua darasani tu..Mambo ya Bernoulli's principles
Wakati nasoma nilikuwa nakariri tu sielewi chochoteTuliishia kuibukua darasani tu..
Naikumbuka physics form 5 hii.Wakati nasoma nilikuwa nakariri tu sielewi chochote
Walimu wetu pia walichangia hasa zile shule za kataNaikumbuka physics form 5 hii.
Tuna matatizo sana katika elimu yetu..Walimu wetu pia walichangia hasa zile shule za kata
Kwanini ukiwa ndani ya ndege ukarusha kitu juu wima mfano pen au kitu kidogo kinarudi hapo hapo wakati chombo kipo kwenye mwendo mkali kwanini kisiishie kutua nyuma zaidi kutokana na mwendo mkali uliopo?
Waache waendelee kulala kwenye chandarua chenye dawa simple tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]