Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Jibu ni ndiyo inaweza kuangusha ndege. Kwanza turbulence ni nini. Turbulence inatokea pale ambapo strealine air flow imepotea hivyo kunakuwa na loss of LOSS OF LIFT. Ukipoteza lift unategemea nini rafiki yangu, vinginevyo urudishe lift iliyoanza kupotea. Sasa inategemea na sababu ya hiyo turbulence. Kwa mfano ndege ndogo ikiifuata ndege kubwa kwa karibu zaidi, ndege ndogo inaweza kuanguka kwa ajilivya kupoteza streamline flow kutokana na vortices za ndege kubwa.
Mambo ya Bernoulli's principles
 
Kwanini ndege ikianguka inalipuka haraka mno kulinganisha na vyombo vingine vya usafiri?

Pili, radar ni nini ina kazi gani katika usafiri wa ndege?

Je ni kweli kwamba ndege ikipita juu ya bahari haipiti karibu sana na usawa wa bahari? Kwanini?
 
Jibu ni ndiyo inaweza kuangusha ndege. Kwanza turbulence ni nini. Turbulence inatokea pale ambapo strealine air flow imepotea hivyo kunakuwa na loss of LOSS OF LIFT. Ukipoteza lift unategemea nini rafiki yangu, vinginevyo urudishe lift iliyoanza kupotea. Sasa inategemea na sababu ya hiyo turbulence. Kwa mfano ndege ndogo ikiifuata ndege kubwa kwa karibu zaidi, ndege ndogo inaweza kuanguka kwa ajilivya kupoteza streamline flow kutokana na vortices za ndege kubwa.
Mkuu unajibu vizuri saana ila terminology ni nyingi kiasi kwamba akina sisi tusioelewa lugha za kindege na fizikia tunapigwa KO.
Jaribu kututafsiria kidogo angalau kwa baadhi ya terminologies.

Swali langu: Hivi ni kweli kwamba rubani wa ndege anaweza kuset ndege halafu ikaendelea na safari wakati yeye akifanya mambo mengine humo humo? let's say unaset ndege ijiendeshe kwa mwendo wa nusu saa na wewe ukaamua kwenda maliwato na kunywa chai au kuoga kabisa, then ukarudi ukaendelea na urushaji?!

Swali la pili; mfano ndege imeisha mafuta ikiwa angani, je hakuna namna nyingine ya kuifanya itue pale pale eneo ilipoishilia mafuta bila athari? Kwamba nguvu yake na ufanyaji kazi wake ni mpaka mafuta? (Mfano gari linaweza kuisha mafuta barabarani lakini ukakanyaga breki na kusimama) kwa ndege ikoje hiyo, au ikiisha mafuta hapo hapo inateremka kwa kasi ya ajabu mpaka chini kabisa?!

Asante.
 
KWANINI NDEGE IKIANGUKA INALIPUKA HARAKA MNO KULINGANISHA NA VYOMBO VINGINE VYA USAFIRI?

PILI, RADAR NI NINI INA KAZI GANI KATIKA USAFIRI WA NDEGE?

JE NI KWELI KWAMBA NDEGE IKIPITA JUU YA BAHARI HAIPITI KARIBU SANA NA USAWA WA BAHARI? KWANINI?
Asante kwa maswali yako mkuu

Swali lako la kwanza ni kwa nini ndege ikianguka ni rahisi kulipuka.
Hii ni kutokana na mafuta yake ambayo huwa yanaongezwa "additves" ili kuongeza ignition point kwa ajili ya kuondoa delayed combustion. Hivyo ni joto kidogo yanalipuka. Ili moto utokee kunahitajika vitu vitatu. Heat, Oxygen na fuel. Sasa kutoka na impact ya kunguka kwa force kubwa heat inakuwa generated kwa sababu ya transformation of kinetic energy ndege inayotoka nayo juu wakati wa kudondoka.

Swali la pili umeuliza kuhusu radar.
Radar ni kifaa cha mawasiliano kilichopo kwenye ndege ambacho kinasaidia rubani kuwasiliana na minara ya kuongozea ndege (ATC)

Swali lako la mwisho ni kuhusu ndege ni kuhusu ndege kupita karibu maeneo ya bahari.
Jibu lake ni kwamba baharini kuna mikondo ambayo hudisturb mifumo ya hali ya hewa. Na kama unavyojua ndege hutegemea hewa katika kupata lift force. Na si bahari tu, kuna maeneo hata ya mito fulani fulani ndege ikipita maeneo hayo inatikiswa. Jaribu kugoogle Bermuda Triangle mystry upate kujua zaidi athari za mikondo ya bahari.
 
Mkuu na engine pylons je?
Tatizo lako unauliza maswali ya kutaka kujua kama najua ama la! Kwa sababu unaonesha unauliza vitu ambavyo unavijua. Umeanza na nacelle sasa tena pylons. Hii ni ushahidi kuwa una knowledge na ndege. Samahani mkuu kama umesahau rejea vitabu vyako ulivyowahi kusoma.
 
tunaambiwa kuna ndege zenye uwezo wa kufunguka mlango wa nyuma(yaani kwenye mkia) na ambazo haziwezi pindi ziwapo angani..

je zina tofauti gani au kitu gani kilichoongezeka kwenye hio ndege inayofunguka.asante
 
Mkuu unajibu vizuri saana ila terminology ni nyingi kiasi kwamba akina sisi tusioelewa lugha za kindege na fizikia tunapigwa KO.
Jaribu kututafsiria kidogo angalau kwa baadhi ya terminologies.

Swali langu: Hivi ni kweli kwamba rubani wa ndege anaweza kuset ndege halafu ikaendelea na safari wakati yeye akifanya mambo mengine humo humo? let's say unaset ndege ijiendeshe kwa mwendo wa nusu saa na wewe ukaamua kwenda maliwato na kunywa chai au kuoga kabisa, then ukarudi ukaendelea na urushaji?!

Swali la pili; mfano ndege imeisha mafuta ikiwa angani, je hakuna namna nyingine ya kuifanya itue pale pale eneo ilipoishilia mafuta bila athari? Kwamba nguvu yake na ufanyaji kazi wake ni mpaka mafuta? (Mfano gari linaweza kuisha mafuta barabarani lakini ukakanyaga breki na kusimama) kwa ndege ikoje hiyo, au ikiisha mafuta hapo hapo inateremka kwa kasi ya ajabu mpaka chini kabisa?!

Asante.
Asante mkuu kwa ushauri na mimi napenda sana kutumia lugha rahisi ila wakati mwingine nashindwa kutokana na uhaba wa misamiati ya Kiswahili katika lugha ya ndege.

Swali lako kuhusu ndege kujiongoza yenyewe ni kweli kwa sababu zina mfumo wa Auto flight au unaweza kuita Auto pilot. Lakini swala la kusema kuicha ndege ukafanye shughuli zingine ni ngumu. Kwa sababu lolote likitokea lazima wewe ndiyo unawajibika si hiyo autopilot. Auto pilot unaitumia kwenye cruising altitude yaani baada ya kufika katika level ambayo hupandi wala hushuki upo katika the same altitude kwa muda mrefu. Yenyewe auto pilot unapoicommand inachojua ni altitude peke yake. Ndege ikitaka kuhama altitude kutokana na hali ya hewa autopilot inairudisha katika altitude ambayo imeambiwa. Lakini haiwezi kujua hapa kuna wingu ambalo siwezi kulipita ni kwepe. Autopilot inakupumzisha kung'ang'ana na "CONTROL STICK" tunaweza kuita usukani japo siyo hasa.
 
tunaambiwa kuna ndege zenye uwezo wa kufunguka mlango wa nyuma(yaani kwenye mkia) na ambazo haziwezi pindi ziwapo angani..

je zina tofauti gani au kitu gani kilichoongezeka kwenye hio ndege inayofunguka.asante
Mlango upi wa nyuma mkuu? Na unafunguka kwa ajili gani?
 
ule unaopakia mizigo

huwa unafunguka pindi wanajeshi wakifanya mission zao sehemu hutumia kwa kushuka
Ok! Bahati mbaya sina uzoefu na ndege za kijeshi ila milango yote ya ndege inaendeshwa na actuators. Nadhani itakua ni mfumo tu ambao pilot akicommand basi actuator inafungua ama kufunga mlango.
 
Tatizo lako unauliza maswali ya kutaka kujua kama najua ama la! Kwa sababu unaonesha unauliza vitu ambavyo unavijua. Umeanza na nacelle sasa tena pylons. Hii ni ushahidi kuwa una knowledge na ndege. Samahani mkuu kama umesahau rejea vitabu vyako ulivyowahi kusoma.

Ni kwa sababu jibu lako limenichanganya na nilichokuwa nakijua kama kishikilishi cha injini. Kama unaona nakuudhi samahani sana bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom