Tujiandae na 'lock down' nyingine kubwa

Tujiandae na 'lock down' nyingine kubwa

Kwa hiyo uwezo wa nchi yetu sasa ni kuwa na hifadhi ya mafuta ya kutosha siku 61? Bila hata aibu tunatoka hadharani kuitangazia dunia ya kuwa tuko vizuri? Je ikitokea vita hii ikauamana kwa zaidi ya siku 61 uchumi wetu utasinzia?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
1774794321778.jpg
 
Back
Top Bottom