Wataripoti nyuso zikiwa ardhini sio?Tutawafadhili kwa masharti (magumu)
ChaiMadhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege
Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M
Hii vita haina dalili na kumalizika leo wala kesho na ukosefu wa mafuta umeshaanza kushika kasi duniani .. Leo pipa moja la mafuta ghafi limefikia dola 175
Mataifa mengi yameshaanza kutoa tahadhari kwa wananchi wake kupunguza matumizi ya nishati (mafuta na gesi) sisi bado.. Lakini hatuko mbali
Lockdown ijayo si ya maradhi na barakoa na kujivukiza tena! Bali ni lockdown ya " movement limitations" kwakuwa mafuta yatapanda bei kupitiliza na yatakuwa hayapatikani kwa urahisi
Fursa fursana! Lockdown ya mafuta wakati itakapokuwa janga kwa wengine, kwingineko itakuwa ni neema na fursa ya kupiga ndefu
Jiandae ufaidike ama ujipange lockdown yaja!
Hahaha. Na tatizo la kuzoea mdomo kufanya kazi badala ya mikono ni viganja vinabaki vilainiii kama uji, mpaka vizoee mpini wa jembe sijui itakuaje.😀😀😀 na vibwaya bila za ndani😋
Naisubr hiyo siku kwa hamu , hatakama liselete mazara lakn lifke tu KwanzaHii Ngoma ingenoga zaidi kama makombora ya Iran yangekuwa yanafika Washington😀🤓🤓🤓
Mwaka huu mtaona mzigo unashuka ndani ya USA, utashukaje tusikilizie kayakoroga lazima ayanywe. Jana muajemi ameuakana mzigo wake uliopiga zaidi ya 4000km..😁😁 Kila kukicha Trump anajitekenya na kucheka mwenyewe kuhusu IranHii Ngoma ingenoga zaidi kama makombora ya Iran yangekuwa yanafika Washington😀🤓🤓🤓
Trump na Nyau wakiendeza mambo yao ya kipuuzi wese litaondoka kabisa hata hilo la 4000 litakuwa linapatikana kwa kulenga, jamaa wameharibu uchumi wa dunia kwa kuingia kwenye vita ambayo haina kichwa wala miguu, ila mradi wao wamesababisha maafaTutanyooka, nasubiri mwezi wa 4 tareh 5, mafuta tutatangaziwa lita 1 kuwa 4000
20% ni yale yanayopitia pale hormuz, vipi na vile viwanda vilivyoharibiwa? Vimepunguza asilimia ngapi katika soko?Hilo eneo si tumeambiwa,yanapita mafuta asilimia 20 tu..ina maana duniani patakuwa na uhaba wa mafuta asilimia 20
Wale ni maibilisi katika mwilibwa kibinadamuTrump na Nyau wakiendeza mambo yao ya kipuuzi wese litaondoka kabisa hata hilo la 4000 litakuwa linapatikana kwa kulenga, jamaa wameharibu uchumi wa dunia kwa kuingia kwenye vita ambayo haina kichwa wala miguu, ila mradi wao wamesababisha maafa
Blaza Bob Marley said there comes a time total destruction is the only solution.Tunakwenda huko kwa kasi ya SGR.Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege
Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M
Hii vita haina dalili na kumalizika leo wala kesho na ukosefu wa mafuta umeshaanza kushika kasi duniani .. Leo pipa moja la mafuta ghafi limefikia dola 175.
Mataifa mengi yameshaanza kutoa tahadhari kwa wananchi wake kupunguza matumizi ya nishati (mafuta na gesi) sisi bado.. Lakini hatuko mbali
Lockdown ijayo si ya maradhi na barakoa na kujivukiza tena! Bali ni lockdown ya " movement limitations" kwakuwa mafuta yatapanda bei kupitiliza na yatakuwa hayapatikani kwa urahisi
Fursa fursana! Lockdown ya mafuta wakati itakapokuwa janga kwa wengine, kwingineko itakuwa ni neema na fursa ya kupiga ndefu.
Jiandae ufaidike ama ujipange lockdown yaja!
kuua waue wao, ila mwingine akiwanyoosha kidogo tu wanaanza toa milio.. Jana Nyau anaomba Duania iungane mshambulia Iran, ( nilijua jamaa ana akili kumbe nae kajaza mavu kichwani )Wale ni maibilisi katika mwilibwa kibinadamu
Baada ya hapo kila kitu kitabadilika, tutanyooka!Tutanyooka, nasubiri mwezi wa 4 tareh 5, mafuta tutatangaziwa lita 1 kuwa 4000
uzuri tanzania tumesha funga mkanda kitambo