Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 7,338
- 7,589
Mataifa makubwa yamewasha meli vita zake Kwa ajili ya kusindikiza meli zake
Sisi tutatuma makomandoo waikomboe ile sehemu...chap chap
Mataifa makubwa yamewasha meli vita zake Kwa ajili ya kusindikiza meli zake
Maadui wa irani ndo hawapitishi mafuta ila ss sdhani kma litatukuta hili janga
Wiki ya kwanza tu ya vita huku wakapandisha bei wakati wala kulikuwa hakuna uhusiano kabisaMaadui wa irani ndo hawapitishi mafuta ila ss sdhani kma litatukuta hili janga
Walikua wana lao hao nilipo mm mpka leo bei ndo ile ileWiki ya kwanza tu ya vita huku wakapandisha bei wakati wala kulikuwa hakuna uhusiano kabisa
Hii ndo kufa kufaana?Yapande mpaka tununue V8 kwa Tsh 2.5m
Kuna jamaa mmoja FB anasema tunachezewa michezo na Jews bola kujuaUbaya ni kudhani kuwa haya yanayotokea hayakujulikana hapo mwanzo.
Hao USA, israel na washirika wao kabla hata ya hii vita walishapiga hesabu zao na kutambua effects zitakazotokea baada ya ushenzi kwa kuvamia taifa huru.
Huwa nasema na narudia tena, duniani hakuna tukio la bahati mbaya, baada ya hili janga kuna watu(insiders) wamefaidika na wanaendelea kufaidika na hii vita kupitia mauzo ya siraha, mauzo ya mafuta kwa bei kubwa zaidi ya waliyonunua na kuhifadhi wakisubiri (tukio la kupangwa) kutokea ili wakamilishe biashara ovu.
Si hilo tu, fuatilieni hata huyo Trump mwenyewe ni miongoni mwa wanufaika wakubwa wa huu mgogoro ambao unaumiza maelfu ya raia.
Kwa wapiga kura na raia wa wakawaida wa USA ni kilio kwao mabilioni ya kodi kutumika vibaya wakati huo kwa wachache wanao run biashara za siraha, mauzo ya mafuta kwao ni faida kubwa.
Kila mgogoro unaohusisha hawa waovu wa magharibi ujuwe kuna fursa kwa wachache, mabilion ya pesa zilizotumika kurun operation nzima yamerudi kwa wafanyabiashara wa hizo siraha na makampuni ya kimarekani, maana siraha zote zilizotumika ni made in USA huku walioshiriki hizo operation wakipata mabonus ambayo kama wasingeshiriki wangeyakosa.
Ni sawa na kusema Tanzania iivamie Rwanda, bajeti ya huu uvamizi itengwe ikihusisha manunuzi ya siraha za wabongo hapa hapa, kuwalipa wabongo wa hapa hapa, huku vita hiyo ikisimamisha baadhi ya mipaka ya usafirishwaji wa bidhaa za Rwanda na kuwafanya Baadhi ya wabongo waliokuwa na bidhaa hizo zinazosafirishwa na Rwanda kuziuza kwa bei kubwa baada ya mfumuko wa bei kupanda.
Faida inarudi kwa wabongo wachache, hasara kwa wabongo wengi walipa kodi na raia wa Rwanda na baadhi ya majirani, hivi ndivyo USA na washenzi wenzake hupigana vita na kushiriki migogoro mingi duniani inayoharibu chumi za wengi na kufaidisha raia wao wachache.
THIS IS HOW THE CAPITALISM& IMPERIALISM WORK AGAINST HUMANITY
Ulinzi wa Strait of Houmz is Mission impossible. Trump knows it,the west knows it. No military solution.Way forward is diplomacy.
Ujombani nako kumeshaonja shubiriSisi tutatuma makomandoo waikomboe ile sehemu...chap chap
Mnakosea mnaposema haina kichwa wala miguu. Jiweke katika viatu vyao, utagundua kuwa walikuwa sahahi ila kwa wakati usiyo sahihiTrump na Nyau wakiendeza mambo yao ya kipuuzi wese litaondoka kabisa hata hilo la 4000 litakuwa linapatikana kwa kulenga, jamaa wameharibu uchumi wa dunia kwa kuingia kwenye vita ambayo haina kichwa wala miguu, ila mradi wao wamesababisha maafa
Ila Mshana, umeandika vizuri Ila hiyo $170 sijui umeipata wapi!, labda ndio maono maana pipa bado halijafika $120Subiri mtasogeza matundu ya mikanda
Kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz: Njia hii muhimu ya bahari, inayopitisha takriban 20% ya mafuta yote duniani, imekumbwa na usumbufu mkubwa na kusababisha meli nyingi za mafuta kukwama.
Kupanda kwa Bei:
Tangu kuanza kwa mashambulizi tarehe 28 Februari 2026, bei ya mafuta ghafi (Brent) imepanda kutoka takriban $70 hadi zaidi ya $100 kwa pipa, huku wakati mwingine ikigusa hadi $170.
Uharibifu wa Miundombinu:
Mashambulizi ya anga yamelenga vituo vya kusafishia mafuta na nishati nchini Iran na nchi jirani, jambo linalopunguza uwezo wa uzalishaji duniani.
Hatua za Kimataifa:
Ili kudhibiti hali hiyo, Marekani ilitoa ruhusa ya muda ya siku 30 (Waiver) mnamo Machi 20 kuruhusu mauzo ya mafuta ya Iran yaliyokuwa tayari baharini ili kuongeza kiasi cha mafuta sokoni.
Kwa Tanzania, kama nchi inayoagiza mafuta kutoka nje, mabadiliko haya ya bei na usambazaji katika Mashariki ya Kati yanaathiri moja kwa moja gharama za uagizaji, jambo ambalo linaweza kusababisha kupanda kwa bei za ndani au foleni kwenye vituo vya mafuta ikiwa usambazaji utachelewa.
Tunamshukuru sana raisi wetu Samuya kwa kufanikisha hilo.uzuri tanzania tumesha funga mkanda kitambo
Mafuta Ya Sudani au Uganda unayoyaskia sio haya tunayotumia.Hebu tuyawahi Mafuta ya Sudan Kusini.....na yale ya Uganda!
Sio rahisi hivyoMkuu, Kila mtu si ana kwao vijijini? Majembe hayahitaji mafuta. Ukishindwa rudi kalime viazi mviringo utakula na kisamvu na maziwa ya ng'ombe. Maisha mbona safi kabisa hayo.
Ni vita vya kipuuzi ndio maana hata wenzao NATO wamekaa pembeni hawapo involved direct. Hakukuwa na sababu ya kuanzisha hiyo vita maana haina faida yoyote hakuna mwenye hatimiliki ya hii dunia kwamba huyo ndio ana haki ya hiki na kile.. okay, Irana hajawai anza mshambulia mtu kabla hajaguswaMnakosea mnaposema haina kichwa wala miguu. Jiweke katika viatu vyao, utagundua kuwa walikuwa sahahi ila kwa wakati usiyo sahihi