lock down

"Lock Down" is a song by British girl-group Stooshe. It is a song with live instruments, strong beats and thick synths. The video was directed and produced by Damien Sandoval. It includes a cameo from America's Next Top Model and Guess model Dom Benjamin, it was filmed in Los Angeles and at HM Prison Kingston in Portsmouth. The track was released on 15 January 2016. It has two official remixes.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania WASHINGTON, MAREKANI: Mtu mmoja auawa baada ya kufyatua risasi kwenye Geti la Ukaguzi la White House, Mpita Njia ajeruhiwa

    Niaje waungwana Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la ikulu ya Marekani. Hapa inawezekana Netanyahu anahusika kuhakikisha Trump haingii makubaliano yoyote...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tujiandae na 'lock down' nyingine kubwa

    Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M Hii vita haina...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kesho ni siku ya kazi au bado kuna lock down?

    Naomba kueleweshwa
  4. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuanzia tar 5 December ile michezo ya kufungiana ndani itaanza tena

    Kwa mujibu wa watu wa jamhuri ya twitter kuna tetesi hizi za kufungiwa tena ndani hakuna MTU kutoka na mitandao yote ya simu kufungwa. Kwa wale wazazi kama Mimi ambao watoto wetu wapo mashuleni tujiandae Tu kisaikolojia maana hatujui hawa watoto warudi vipi huku DAR Hata wale ambao wanataka...
  5. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje na mlipuko mpya wa Human Metapneumo Virus (HMPV)?

    Umejiandaa VIPI na mlipuko mpya wa Human Metapneumo Virus ( HMPV ) ulianzia huko China ambao virusi vina tabia Sawa na zile za Uviko ? Mathanzua
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wazee wanakucheki tu unavyojikuta Vin Diesel

    Wazee wanatamani wasikie paah
Back
Top Bottom