Weka source ya bei ya mafuta pipa Moja likiwa $175,Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege
Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M
Hii vita haina dalili na kumalizika leo wala kesho na ukosefu wa mafuta umeshaanza kushika kasi duniani .. Leo pipa moja la mafuta ghafi limefikia dola 175.
Mataifa mengi yameshaanza kutoa tahadhari kwa wananchi wake kupunguza matumizi ya nishati (mafuta na gesi) sisi bado.. Lakini hatuko mbali
Lockdown ijayo si ya maradhi na barakoa na kujivukiza tena! Bali ni lockdown ya " movement limitations" kwakuwa mafuta yatapanda bei kupitiliza na yatakuwa hayapatikani kwa urahisi
Fursa fursana! Lockdown ya mafuta wakati itakapokuwa janga kwa wengine, kwingineko itakuwa ni neema na fursa ya kupiga ndefu.
Jiandae ufaidike ama ujipange lockdown yaja!
Acha kuokoteza habari kaka