Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi.

Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek ni kama wanavuna wasikopanda.yani utapel

Unakuta Mwanaume dalali Yuko kijiwen tu anasubiri héla ya fundi mjenzi ambae kasimama ukuta WA floor ya 10 anapiga plasta, ni mfano

Unfortunately ni kwamba WA Tanzania wengi hua hatuna upeo WA kuhoji vitu hua tunaacha vitu pasi kuangalia maslah mapana ya Kundi la watu .

Serikali inatikiwa ujue kupitia biashara ya upangaji inaweza kutengeneza pesa nyingi tu na ikaajiri vijana wetu wasomi jobless

Serikali simply ipige marufuku mpangaji kuingia mfukon kumlipa dalali badala yake mwenye nyumba ndo awajibike

Au kupitia ofsi za serikali ya mtaa /mjumbe kue n'a data base ya nyumba na vyumba vyote vya kupanga sehemu husika mpangaji alipe pesa kidogo atafutiwe chumba au nyumba na hizo pesa zifanye maendeleo nchin
 
Tafuta mwenyewe Nyumba, hutotoa pesa kwa Dalali....!

Yakikufika yanayowafika wengine, wewe mwenyewe utatafuta Dalali.
 
Madalali wapuuzi sana.

Madalali ni watu wasiotaka kufanya kazi wanashinda vijiweni wanasubiri wanaume wajenge wao wasogeze pua.
 
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi.

Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek ni kama wanavuna wasikopanda.yani utapel

Unakuta Mwanaume dalali Yuko kijiwen tu anasubiri héla ya fundi mjenzi ambae kasimama ukuta WA floor ya 10 anapiga plasta, ni mfano

Unfortunately ni kwamba WA Tanzania wengi hua hatuna upeo WA kuhoji vitu hua tunaacha vitu pasi kuangalia maslah mapana ya Kundi la watu .

Serikali inatikiwa ujue kupitia biashara ya upangaji inaweza kutengeneza pesa nyingi tu na ikaajiri vijana wetu wasomi jobless

Serikali simply ipige marufuku mpangaji kuingia mfukon kumlipa dalali badala yake mwenye nyumba ndo awajibike

Au kupitia ofsi za serikali ya mtaa /mjumbe kue n'a data base ya nyumba na vyumba vyote vya kupanga sehemu husika mpangaji alipe pesa kidogo atafutiwe chumba au nyumba na hizo pesa zifanye maendeleo nchin
Sheria za Tanzania haziruhusu mpangaji kuwalipa madalali. Mwenye nyumba ndio anapasa kuwalipa
 
Madalali wanawekwa na Ninyi wapangaji.
Kati ya dalali na wewe nani kamfuata mwenzake?

Sio rahisi mtu aliyezaliwa na kukulia mjini akasema maneno haya. Ni aidha mtu aliyekuja mjini juzi au mtu usiyeelewa mazingira ya mjini yalivyo.
 
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi.

Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek ni kama wanavuna wasikopanda.yani utapel

Unakuta Mwanaume dalali Yuko kijiwen tu anasubiri héla ya fundi mjenzi ambae kasimama ukuta WA floor ya 10 anapiga plasta, ni mfano

Unfortunately ni kwamba WA Tanzania wengi hua hatuna upeo WA kuhoji vitu hua tunaacha vitu pasi kuangalia maslah mapana ya Kundi la watu .

Serikali inatikiwa ujue kupitia biashara ya upangaji inaweza kutengeneza pesa nyingi tu na ikaajiri vijana wetu wasomi jobless

Serikali simply ipige marufuku mpangaji kuingia mfukon kumlipa dalali badala yake mwenye nyumba ndo awajibike

Au kupitia ofsi za serikali ya mtaa /mjumbe kue n'a data base ya nyumba na vyumba vyote vya kupanga sehemu husika mpangaji alipe pesa kidogo atafutiwe chumba au nyumba na hizo pesa zifanye maendeleo nchin
JERRY SLAA kawashindwa.
Lukuvi aliwashindwa.
Mabula aliwashindwa.

Wameiweka serikali mfukoni?
 
Udalali ni ajira kubwa duniani.. Na kuna matajiri hawafanyi Kazi bila madalali
Vyema kabisa ndugu akini wapo regulated, wanalipa kodi?
Unakodi Warehoise mwezi kodi ni milioni kumi,dalali anataka 10 milini wakati mwanasheria anayesimamia hayo analipwa laki mbili tu.
Hana TIN, ofisi wala hailipiwi kodi yeyote.
 
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi.

Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek ni kama wanavuna wasikopanda.yani utapel

Unakuta Mwanaume dalali Yuko kijiwen tu anasubiri héla ya fundi mjenzi ambae kasimama ukuta WA floor ya 10 anapiga plasta, ni mfano

Unfortunately ni kwamba WA Tanzania wengi hua hatuna upeo WA kuhoji vitu hua tunaacha vitu pasi kuangalia maslah mapana ya Kundi la watu .

Serikali inatikiwa ujue kupitia biashara ya upangaji inaweza kutengeneza pesa nyingi tu na ikaajiri vijana wetu wasomi jobless

Serikali simply ipige marufuku mpangaji kuingia mfukon kumlipa dalali badala yake mwenye nyumba ndo awajibike

Au kupitia ofsi za serikali ya mtaa /mjumbe kue n'a data base ya nyumba na vyumba vyote vya kupanga sehemu husika mpangaji alipe pesa kidogo atafutiwe chumba au nyumba na hizo pesa zifanye maendeleo nchin
Nakubaliana na wewe upande mmoja lakini natofautiana na wewe kidogo. Kwenye kuzalisha wavivu, waongo na matapeli nakubaliana na wewe udalali unaongoza hasa huu udalali usi na control au kwa lugha nyepesi madalali wa mtaani wasiokua na ofisi maalumu. Pia kwenye kiasi ni kuwaendekeza hawa wavivu kufanya kazi kuwapa hela ya mwezi mzima na hii imechangia sana kupandisha kodi kiholela na kijinga.

Udalali ukichululiwa kama kazi rasmi watu wakafungua ofisi za real estate zikasajiliwa nakutambulika pia wakawa wanaifanya kama biashara rasmi na wanalipa kodi kama zilivyo taasisi nyingine, wamiliki wa nyumba wangekuwa wanakabidhi nyumba kwa ofisi ya real estate wapangishe na ofisi inachaji commission kwa kodi unayolipa mteja ingekuwa shughuli rasmi isiyokuwa na janja janja. Na kunakuwa na katazo kupangisha nyumba kiholela kwanza kunachochea uhalifi kama utapeli na ulaghai na pili serikali inakosa mapato kwasababu madalali wanachukua pesa nyingi za watu na hawalipi kodi.

Unakuta dalali anapata 2ml- 3 ml kwa mwezi halipi kodi na kuna mfanya biashara ama mtumishi anapata laki 3-5 kwa mwezi na analipa koda/PAYE.

Kuna wachache wavivu kufikiri wametufikisha hapa tulipofika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyema kabisa ndugu akini wapo regulated, wanalipa kodi?
Unakodi Warehoise mwezi kodi ni milioni kumi,dalali anataka 10 milini wakati mwanasheria anayesimamia hayo analipwa laki mbili tu.
Hana TIN, ofisi wala hailipiwi kodi yeyote.
Ndugu yangu kuna mifumo ya hovyo imewekwa kiasi kwamba ukiwa umesoma na una kazi ya profession fulani unakuwa umebanwa huwezi kukwepa hata kama kipato kidogo lakini asiye na profession hata kama anapata kikubwa habanwi, mwisho wa siku professionals wanadharaulika wachache wanaokataa dharau hizi ndio unakuta wanajiongeza nje ya profession zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madalali hawako kwenye nyumba tu wako kila sehemu utaona umuhimu wao ukiwa na haraka ya uhitaji wa kitu pia wapo madalali wahuni hawana ofisi na wengine wanatumia sana nguvu za giza!
 
Back
Top Bottom