nikijaaliwa afya njema na zawadi ya uhai,
huenda next week nikaenda kucheki mechi moja hivi ya world cup new york, nitakupa uhalisia zaidi,
but hakuna haja ya kunyong'onyezwa na yeyoyte kuhusu uwekezaji New York.
but ni muhimu zaidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa lakini pia, bila kukata tamaa
Katika ya Afrika na Ulaya , wapi kuna mianya na fursa za kukua kiuchumi?
Kukamilika sio lazima kuwa kama wazungu.
Unafahamu wahindi ni matajiri wakubwa hapa bongo, kule kwao ndugu zao huwa wanajisaidia vichakani?
Ili tusiwe tegemezi, unahisi ni maeneo yapi yapewe nguvu katika uzalishaji?Na sahihi sisi kuendelea kuwa tegemezi miaka na miaka?
Kuombaomba ni mentality mbovu na ya uvivu, hakuna uhalali wowote wa sisi kuwa ombaomba.Kama huku kuna hiyo mianya, kwa nini bado tuko masikini na tunaenda huko nje kuombaomba?
Sisi hatuna uhaba wa resources unaotulazimisha kutoka na kwenda sehemu za mbali kutafuta fursa.Wao kutoka nchi moja kwenda kuwekeza nchi nyingine, hiyo ndio akili tunayoitaka; kwa nini sisi tunafeli?
Tatizo sio uzalishajiIli tusiwe tegemezi, unahisi ni maeneo yapi yapewe nguvu katika uzalishaji?
karibu sana gentleman 🐒Sawa kila la kheri...
Sio sahihi ila ndio tuko chini ya social construct, tumetengenezwa hivyo kwa muda mrefu kwa plan mahususi Mkuu. Mfano je unaweza kuishi mwezi mmoja bila internet? Jibu ni utaweza lakn utapitia wakat mgumu sana, vp siku wakiamua kuzima internet mazima unafkr itakuaje? Ndo kama swali lako la tegemezi.. jibu ni tunaweza ila itakua ni patashika.Na sahihi sisi kuendelea kuwa tegemezi miaka na miaka?
Kwa dunia ya sasa kuna mambo ukiyafanya yanaweza kuwa na maumivu kwa kila upande. Chukulia wewe ni supplier wa spare za pikipiki, ukaamua kutowauzi mafundi hizo spare. Ni kweli kwamba mafundi watateseka na lakini kwa muda huo hata wewe muuzaji hautakuwa unapata faida yoyote na mbaya zaidi unatengeneza mazingira ya hao mafundi kutotegemea huduma zako kwa siku zijazo. Issue ya utegemezi ina hit both ways supplier anafaidika na comsumer anafaidika.Sio sahihi ila ndio tuko chini ya social construct, tumetengenezwa hivyo kwa muda mrefu kwa plan mahususi Mkuu. Mfano je unaweza kuishi mwezi mmoja bila internet? Jibu ni utaweza lakn utapitia wakat mgumu sana, vp siku wakiamua kuzima internet mazima unafkr itakuaje? Ndo kama swali lako la tegemezi.. jibu ni tunaweza ila itakua ni patashika.
Una point ila kumbuka anaetoa msaada ana upper hand na tegemezi lazima afate masharti atakayapewa lasivo mtoa msaada ana options nyingi, supplier hatetereki akipoteza mteja mmoja kati 100,000 alionao na wengine kibao wako pending wanasubiri usajili wa hudumaKwa dunia ya sasa kuna mambo ukiyafanya yanaweza kuwa na maumivu kwa kila upande. Chukulia wewe ni supplier wa spare za pikipiki, ukaamua kutowauzi mafundi hizo spare. Ni kweli kwamba mafundi watateseka na lakini kwa muda huo hata wewe muuzaji hautakuwa unapata faida yoyote na mbaya zaidi unatengeneza mazingira ya hao mafundi kutotegemea huduma zako kwa siku zijazo. Issue ya utegemezi ina hit both ways supplier anafaidika na comsumer anafaidika.
Ni sahihi.Una point ila kumbuka anaetoa msaada ana upper hand na tegemezi lazima afate masharti atakayapewa lasivo mtoa msaada ana options nyingi, supplier hatetereki akipoteza mteja mmoja kati 100,000 alionao na wengine kibao wako pending wanasubiri usajili wa huduma