Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Status
Not open for further replies.
Kinacho niuma nikuwa.. kila Jumapili kuna 35% ya makato inakwenda Headoffice toka sharikani... wakati huo sharika zinabaki hazina kitu... Kila mwezi kuna jumapili moja sadaka zote wanachukua hao wakubwa.. iwe fungu la kumi... au sadaka yoyote ile... (cash).. Wachungaji, Wainjilisti... wamefungwa midomo... Wameweka vijana wao... ndio Wahasibu.. wanasikiliza maelekezo toka juu... (Munga)... sharika zinabaki maskini na madeni....Ushauri: Munga... Mwinuka... Mama Munga... Ngugi... INATOSHA kaaeni pembeni... Marehemu Kolowa alikupeleka ulaya Kusoma.... Alijua utaongoza kondoo wa Mungu ktk njia ya haki na kweli... bro... UMEHARIBU... achia ngazi... la sivyo AIBU KWAKO NA MKE WAKO ITAKUWA KUBWA MNO ZAIDI YA HAPA... yapo mengi haya ni machache tu....
 
Mshana hii barua ni Trash. Unaona kabisa walioandika wana Chukinna Dk.Munga. Haya ni majungu na hakuna ushahidi wowote wa wazi. Hapa ni siasa za Dk. Munga ili kuzima asikosoe serikali.

NB:Mambo ya kuchafua kanisa na Baba Askofu Munga. Mambo ya kanisa yaishie huko ukiona kabisa kanisa la KKKT hakufai basi hamia Makanisa mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makanisani kuna mambo sana siku hizi.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hakuna hata chembe ya siasa Munga ananuka Ufisadi, Utapeli, Uwizi,Uchu wa madaraka, Roho mbaya, Tamaa na kila aina ya uchafu kinyume na sifa za kiongozi wa dini.

Na hapo hizo tuhuma zimemlenga yeye kama pioneer wa hayo madudu lakini anagenge lake la uhalifu kuanzia Dean ( Ngugi) , Katibu Mkuu ( Miunuka pamoja mke wake) Mke wa Askofu ( Anneth Munga) Mwanasheria wa Kanisa ( Mary) mkurugenzi wa Fedha SEKOMU ( Kingazi) na wengine wengi walio chini yao ambao hawana sauti na wana kubali kulinda Ajira zao.

Waumini tumeporwa sadaka zetu na vyanzo vya mapato ili kulipia madeni yasiyoishwa. Madeni tuliyoingia kwa ubishi wa Munga kukataa kushauriwa.
Hatuoni hata umuhimu wa kwenda kanisani kwasabu mioyo yetu imevunjika kwa dhuluma hizi zinazofanywa na viongozi wanaosimama madhabahuni kutu hubiria
" Habari njema".
Tunataka ofisi ya CAG iingilie kati TRA, TAKUKURU na vyombo vya usalama viingilie kati kuchunguza na kushuhulikia tuhuma hizi nzito; kisha kuwachukulia hatua za kisheria hawa Wahujumu uchumi waliojificha kwenye mwamvuli wa dini!!
Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Unajua wengi hapa wanaongea wasichojua.. Kuna mmoja kasema hata nataka Munga atoke ili nimuweke mtu wangu[emoji30][emoji30][emoji30]
Naunga mkono hoja tunaolewa tunajua hizi tuhuma sio za ungo hata kidogo.
Kwa wanaosema ni njama za kumchafua kwasababu ni mkosoaji wa Serikali ukisoma vizuri hii barua baadhi ya tuhuma zilianza hata kabla ya awamu ya tano!!
Ushahidi upo wa kutosha na wachungaji na watumishi waliosumbuliwa na kuachishwa kwa uonevu pia wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Nyie ndio wajinga. Kila mpewacho mnakila kama mchwa!! Husikii aibu kusema ya jirani? Nyie mna nini cha kubishania kama hata MUM imewashinda na hata nyie watoto hamtaki wapeleka kusoma?

Mmeishia kuuza hadi viwanja na miskitini sadaka haizidi elf 15 na bado maimamu wanatoana roho kuigombania!!
Wajinga ndiyo waliwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe Mshana Barua za Kanisa unazileta huku JF ili upate nini? Si hekima ulivyofanya. Hii barua ungeiacha huko ilikotumwa. Kuwa na Hekima kama Yusufu aliposhtukia Mariamu ana mimba bila kuhusiana naye. Unamuabisha Baba Askofu Munga Mtumishi wa Bwana.
Aiseeee. Kwahiyo kamdhalilisha baba askofu??
 
Mshana hii barua ni Trash. Unaona kabisa walioandika wana Chukinna Dk.Munga. Haya ni majungu na hakuna ushahidi wowote wa wazi. Hapa ni siasa za Dk. Munga ili kuzima asikosoe serikali.

NB:Mambo ya kuchafua kanisa na Baba Askofu Munga. Mambo ya kanisa yaishie huko ukiona kabisa kanisa la KKKT hakufai basi hamia Makanisa mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imewauma mzigo kuwekwa hadharani duh
 
Nadhani hao kkkt wangeachana na mambo ya katiba kama wanamuani nabii Issa AS kwa nini wasifuate maelekezo yake?

Ukiangalia mgogoro ule wa akina cleopa msuya na wapare wenzake,mgogoro wa meru,mgogoro wa kumng'oa Amani Mwenegoha,mgogoro wa kumng'oa Jerry mngwamba na mchungaji kombo,sababu hazitofautiani sana
Maelezo ya Issa A.S yatawafanya wasipate hata senti moja, hayo tutayafuata sisi maamuma, viongozi waache wapige hela
 
Chagueni papa (pope) wenu na mumpe madaraka ya kuchagua maaskofu na kuwafukuza halafu mtaona adabu inakuwepo kati ya maaskofu wenu.
Kwani kkkt ni kanisa halina utaratibu wa uendeshaji mambo yake?? Au ndio inabidi kikundi cha watu wakae walitungie kanisa utaratibu???
 
Hakuna hoja yoyote yenye ukweli hapo ni kwavile huyo askofu anaikosoa serikali sasa unatengenezwa uchochezi tu. Hayo mauchafu yote tena mengine ya mwaka 2010 miaka 10 yote wapo tu wanashindwa nini kuchukua hatua yaani ufanyike ukaguzi halafu report isifanyiwe kazi eti sababu askofu hataki. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
conservative3,
Hapa ndio tatizo linapoanzia, katiba iliyotungwa na watu. Kwani hakuna muongozo ulioachwa na bwana yesu namna ya viongozi kukaa madarakani na kipi kitamtoa kiongozi wa kanisa madarakani???

Ona sasa kiongozi wa kanisa kawa kama museveni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom