Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Status
Not open for further replies.
Askofu kwa tuhuma hizo apishe nafasi, uchunguzi ufanyike. Awe mtii kwani mwenzake wa Arusha alishupaza shingo sakata la Coridor Springs akaishia futi sita
Mkuu eleza kidogo kuhusu huyo wa Arusha.
 
Sasa Mshana umeweka tuhuma halafu unasema zilizoandikwa hapo ni facts tupu si ungesubiri Askofu azijibu ndio ujue uzito wa hizo unazoita facts.

Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini Askofu Munga anahusika na hayo, tatizo la Munga ni kuisema serikali kwa mabaya wanayofanya kwa raia wake bila kificho.

Wanataka kumuondoa kwenye nafasi yake ili wamfunge mdomo, hizo tuhuma kama zilikuwepo miaka yote walisubiri nini mpaka waje kukurupuka leo?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilishaakomenti mara nyingi kuhusu munga... ana dunia yake ... msogelee uumie...kuna wakati mke wake alikua anaingia na funguo za ziada ofisi za VC Ssekomu hasa wikiend au baada ya muda wa kazi.yule vc alilalamika akaondolewa kisa sio mlutheri.

Mungu awasaidie mimi binafsi nimeshaletewa fumu kadhaa kuchangia chuo kukinusuru.
Akiitwa na waadhiri kikao haendi ndo ikapelekea migomo yeye anashinda kwenye keyboard au Dar.

Wakati walimu wamegoma kutokana na kuto kulipwa yeye alienda marekani kupumzika likizo kwa fedha za dayosisi.
Yule mchungaji aliekuwa bwana fedha pesa zilipoingia akawalipa madeni waliju ya miezi mitatu alitukanwa na mama munga ...hakurudi salama aliposafiri kikazi akapatikana na sumu akajikuta anaamkia icu alipopona hakukajaga tena
Mwisho si nasikia askofu ni TISS...ndio maana anafanya anavyotaka
 
Mimi nilisoma Bangala Seminary....haya uliyoandika ni kweli tupu....tangu miaka ile hizi tuhuma zilikuwepo ila tu kwa wakati ule alikuwa hagusiki kabisa....ukimuongelea ni imekula kwako.... He is very powerful kule NORTHERN EASTERN DIOCESE....watu wanajua makosa yake but unafunguaje mdogo na akujue kuwa wewe ndo umesema.....

Dini hizi bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote yanafanyika mamlaka husika zilikuwa zinafanya nini?

Mtu mmoja hawezi kufanya uharibifu mkubwa hivyo kwa muda mrefu ndani ya kanisa na likakaa kimya.

Kanisa lina watu smart, usmart upo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka gani?

Alipoingia cha kwanza alibadili katiba kujiongezea madaraka hawakujua

Cha pili kuna wachungaji walipata nafasi ya kwenda kusoma phd nje na hata makumila akawachinjia baharini kisa eti phd hawahitajiki kwa sasa

Wengine wakasimamishwa uchungaji.

Alipoulizwa jitihadi za kukamilisha taratibu za TCU ikiwemo kumuondoa mke wake ambaye hana phd ya darasani akawajibu labda nifuge kuku ila sio kumtoa mke pale.

Busara zikahoji chuo wana dayosisi walichanga kukianzisha leo wanahoji unawajibu utafugia kuku kana kwamba walichanga wajenge mabanda ya kuku.

Kwa ridhaa ya mhusika nitapiga picha wasap text zake alivyukuwa anawajibu wahusika ikiwa tu mwenye simu ataruhusu nikopi na kurusha JF.
 
Mambo ni mengi sana katika huu ulimwengu WA nyama na roho. Yote yaliyosemwa hapo juu nimewahi kuyasikia. Ulipaji WA mishahara ikayeyuka SECOMU walianza vizuri sana, ila ndo basi tena.

Askofu kachemsha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie jimbo moja la katoliki ambapo waumin hawamtak askofu wao na mm ntakutajia majimbo 20 ya kkkt yenye migogoro

Sent using Jamii Forums mobile app

Na wewe nitajie Mch. mmoja wa KKKT aliyetuhumiwa kulawiti watoto na mimi ntakutajia Makasisi 100 wa Katoliki wenye tuhuma na waliokwisha kushtakiwa kabisa.

Lets call spade a spade..
 
Siasa ina harufu yake hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo uwezekano upo.

Kama na yeye aliamua kujikita kisiasa akiikosoa serkali hadharani alitakiwa aangalie nyuma yake kama yuko safi ili asichafuliwe hadharani.

Kumbe watumishi wasijiingize na kutumika KISIASA sasa makali ya kisu yameelekezwa kwake aanze kujitetea.
Bad enough kuna Harufu ya ukweli

Kwa kuwa utumishi ni kusaidia wenye dhambi bila kuwadhalilisha basi akitaka kukosoa awafuate awasaidie watubu, asitafute publicity.

Kwa wizi huu usishangae vyombo vya dola vikatumika kufanya uchunguzi. Jinai ni jinai bila kujali ni kanisani au wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KKKT nadhani ni dhehebu linaloongoza nchini kwenye migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa!

Swali la kujiuliza kwa nini linaongoza kwenye migogoro ya pesa?

Je, viongozi wa kutoka maeneo gani ambao wanakubwa na migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa?

Je, viongozi wake hawa wanajua sana umuhimu wa pesa kuliko wengine?
Upo sahihi mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KKKT nadhani ni dhehebu linaloongoza nchini kwenye migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa!

Swali la kujiuliza kwa nini linaongoza kwenye migogoro ya pesa?

Je, viongozi wa kutoka maeneo gani ambao wanakubwa na migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa?

Je, viongozi wake hawa wanajua sana umuhimu wa pesa kuliko wengine?
Shemeji zangu Wachaga ndiyo wanapenda pesa! Sisi ngosha tunapenda ng'ombe!
 
Dr. Munga ni kweli alipiga hela yeye na huyo Anneth ambaye ni ndugu yake, na kwanini bado anang'ang'ania madaraka au mamlaka?

Askofu Mkuu yuko wapi?

Inabidi Askofu Mkuu ama baraza la Maaskofu limshughulikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka huyo anneth tulikuwa tunamwita mama mchungaji wakati yeye na Askofu wakisoma Sweden! Kazi kweli kweli
 
KKKT nadhani ni dhehebu linaloongoza nchini kwenye migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa!

Swali la kujiuliza kwa nini linaongoza kwenye migogoro ya pesa?

Je, viongozi wa kutoka maeneo gani ambao wanakubwa na migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa?

Je, viongozi wake hawa wanajua sana umuhimu wa pesa kuliko wengine?
KKKT huwa hakuna migogoro ya pesa.
 
Huyo kajificha kwenye kukosoa serikali ili ya kwake yakisanuka kondoo wake hasa vilaza waone ni siasa tu.

Hao wanaume ambao riziki zao wanazipata kwa kuvaa magauni mbele ya wanaume wenzao most of them ni very arrogant.

Niliwahi kuuliza humu kama huyo jamaa hana kazi nyingine zaidi ya kujibu press za akina Polepole,makopo yake yakaja juu kumbe ni jau tu.
Makopo ni akina nani? tukujibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom