Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Status
Not open for further replies.
Hata walalamikaji wote nao wezi tu muumini wa kawaida kua bize na hizo mambo ya kazi gani?kama askofu ni mwizi simply acha kuchangia hilo kanisa and mind your own bizness Mr haya mambo ni kujipotezea muda tu samahani kama ntakwaza mtu
 
Munga alipomteua mke wake kuwa provost wa SEKOMU, mwanamke ambaye hana sifa ya kuwa mkuu wa chekechea nilijua tu. SEKOMU kwisha.

Sasa atakua amebaki na ule mradi wa ile Lodge pale Lushoto. Mbona ni DKMS tu ndio kuna dinari.
Kama ni kweli kwamba Askofu alifanya hivyo, basi ni kosa. Je kina Tomaso bado mna shaka na hili pia.
 
Hapana lazima kuwe na uwazi na mijadala.. Viongozi wa dini sio malaika nao wana madhaifu kama wengine...
Hapa naona wengi wamekimbilia kumtetea bila kujiridhisha... Mimi ni mlutheri na nimekulia Huko kwenye hiyo dayosisi... Hakuna alichosingiziwa hapo. Tlg,

Jr[emoji769]
Naunga mkono hoja tunaolewa tunajua hizi tuhuma sio za ungo hata kidogo.

Kwa wanaosema ni njama za kumchafua kwasababu ni mkosoaji wa Serikali ukisoma vizuri hii barua baadhi ya tuhuma zilianza hata kabla ya awamu ya tano!!

Ushahidi upo wa kutosha na wachungaji na watumishi waliosumbuliwa na kuachishwa kwa uonevu pia wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote yanafanyika mamlaka husika zilikuwa zinafanya nini?

Mtu mmoja hawezi kufanya uharibifu mkubwa hivyo kwa muda mrefu ndani ya kanisa na likakaa kimya.

Kanisa lina watu smart, usmart upo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu Askofu anachotuhumiwa ni matokeo ya "kujiingiza kwenye siasa" na kusahau msingi Mkuu wa kuhudumia mioyo na nafsi za Kondoo wake.


Lakini pia Askofu nae ni Binadamu kama Kikwete, Mkapa, Mimi, wewe, au Mshana Jr. Anaubinadamu kama mwingine yeyote yule kufanya makosa au kutokufata utaratibu unaoongoza kazi na utawa wake ni mapungufu ya ubinadamu wake tu!

KKKT kuna shida, shida kubwa sana katika maswala ya fedha. Migogoro ya namna hii ilikuwepo karibia kila Dayosisi, kila usharika na karibia kila mahali kwenye miradi ya kanisa.

Morogoro ni mfano mzuri, Pare, na kwingineko pesa imelivuruga kanisa!
 
Kweli mwamba ngoma huvutia upande wake. Nmesoma makala yote sijaelewa zaidi ya uroho wa madaraka uliouonesha.
Bila shaka unacho tamani kukuiona ni askofu kuachia madaraka then wewe ama mtu unaeelewana nae ashike hatam ili mgawane hyo michango ya wasiojielewa. Hilo hutokaa ulione likitimia ndg coz hata wanaokula sasa ukichunguza kwa jicho la tatu ndio unaowaomba wamuondoe huyo kibopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr, hizi ni SIASA tuzipuuze...
Hakuna hata chembe ya siasa Munga ananuka Ufisadi, Utapeli, Uwizi,Uchu wa madaraka, Roho mbaya, Tamaa na kila aina ya uchafu kinyume na sifa za kiongozi wa dini.

Na hapo hizo tuhuma zimemlenga yeye kama pioneer wa hayo madudu lakini anagenge lake la uhalifu kuanzia Dean ( Ngugi) , Katibu Mkuu ( Miunuka pamoja mke wake) Mke wa Askofu ( Anneth Munga) Mwanasheria wa Kanisa ( Mary) mkurugenzi wa Fedha SEKOMU ( Kingazi) na wengine wengi walio chini yao ambao hawana sauti na wana kubali kulinda Ajira zao.

Waumini tumeporwa sadaka zetu na vyanzo vya mapato ili kulipia madeni yasiyoishwa. Madeni tuliyoingia kwa ubishi wa Munga kukataa kushauriwa.

Hatuoni hata umuhimu wa kwenda kanisani kwasabu mioyo yetu imevunjika kwa dhuluma hizi zinazofanywa na viongozi wanaosimama madhabahuni kutu hubiria

" Habari njema".

Tunataka ofisi ya CAG iingilie kati TRA, TAKUKURU na vyombo vya usalama viingilie kati kuchunguza na kushuhulikia tuhuma hizi nzito; kisha kuwachukulia hatua za kisheria hawa Wahujumu uchumi waliojificha kwenye mwamvuli wa dini!!
Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe nitajie Mch. mmoja wa KKKT aliyetuhumiwa kulawiti watoto na mimi ntakutajia Makasisi 100 wa Katoliki wenye tuhuma na waliokwisha kushtakiwa kabisa.

Lets call spade a spade..
Umedandia treni kwa mbele, punguza mihemko mkuu utakuja kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
conservative3, Aisee wewe una first hand information kutoka jikoni kabisa hayo ynayosema ni ukweli mtu bila doa la uzushi. Hizo message pia tuwekee.....

Lengo letu ni kuona Munga anajibu tuhuma hizi either akanushe au akubali ang'atuke na awajibishwe ipasavyo.
2020 tunataka mabadiliko DKMS.

Hana U- TISS wowote labda u TISS wa Kwesimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamlaka ya KKKT ipo chini ya dayosisi, Dr Shoo akenda huko hana mamlala yeyote.

Askofu mstaaf mdegela alifukuza maaskofu waliokuja kumchunguza na hawakuwa na la kumfanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokubaliana na Munga kubadilisha KKKT-DKMS kwenda DKMS-KKKT hawakuona mbali... kumbe Munga alikuwa na nia ovu... na sasa ukweli wote upo wazi... NI UKWELI USIOFICHIKA MUNGA HAPENDI KUWA CHINI YA KIONGOZI MWENGINE JUU YAKE... MAAMUZI YY NDIO MWISHO IWE MAZURI AU MABAYA..... copy kwa Mama Munga... Mwinuka.... na Kingazi....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom