mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,882
- 136,798
Sasa Mshana umeweka tuhuma halafu unasema zilizoandikwa hapo ni facts tupu si ungesubiri Askofu azijibu ndio ujue uzito wa hizo unazoita facts.Aingie kwenye siasa basi.. Mbona kilichoandikwa hapo ni facts tupu?
Jr[emoji769]
Hata mimi siwaamini, wanatumika.Hayo yote yanafanyika mamlaka husika zilikuwa zinafanya nini?
Mtu mmoja hawezi kufanya uharibifu mkubwa hivyo kwa muda mrefu ndani ya kanisa na likakaa kimya.
Kanisa lina watu smart, usmart upo wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe Mshana Barua za Kanisa unazileta huku JF ili upate nini? Si hekima ulivyofanya. Hii barua ungeiacha huko ilikotumwa. Kuwa na Hekima kama Yusufu aliposhtukia Mariamu ana mimba bila kuhusiana naye. Unamuabisha Baba Askofu Munga Mtumishi wa Bwana.
Kwahiyo nisahihi khisambaza zaidi??Hii sio barua ya siri na tuhuma zake ziko wazi.. Kama ni aibu keshajiaibisha kupita maelezo hata kabla ya hii barua.. Na kwa taarifa yako hii barua imesambaa sana huko kwingine
Jr[emoji769]
Hawawakatai kwa bahati mbaya. Mimi nimeshuhudia wachungaji wangu zaidi ya sita niliokuwa nawaheshimu sana ila pindi wanapotaka kuhamishwa vituo wanagoma na kulega migogoro kiasi kwamba DAYOSISI inaamua kuwafukuza na wanaanzisha huduma zao.Hii migogoro ya kuwakataa viongozi wenu nyie KKKT ni ya miaka yote, jitafakarini kwanza.
Lakin kwa sisi watanzania wa kawaida Dr. Munga tunamkubali sana na tunajua uwezo wake wa akili,hayo mengine mnayajua nyie wanadayosisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilisoma Bangala Seminary....haya uliyoandika ni kweli tupu....tangu miaka ile hizi tuhuma zilikuwepo ila tu kwa wakati ule alikuwa hagusiki kabisa....ukimuongelea ni imekula kwako.... He is very powerful kule NORTHERN EASTERN DIOCESE....watu wanajua makosa yake but unafunguaje mdogo na akujue kuwa wewe ndo umesema.....Hapana angalia historia ya matukio yake ni way back 2009
Jr[emoji769]
Kwa hiyo unamleta asulubiwe na JFHapana lazima kuwe na uwazi na mijadala.. Viongozi wa dini sio malaika nao wana madhaifu kama wengine...
Hapa naona wengi wamekimbilia kumtetea bila kujiridhisha... Mimi ni mlutheri na nimekulia Huko kwenye hiyo dayosisi... Hakuna alichosingiziwa hapo
Jr[emoji769]
Mimi nilisoma Bangala Seminary....haya uliyoandika ni kweli tupu....tangu miaka ile hizi tuhuma zilikuwepo ila tu kwa wakati ule alikuwa hagusiki kabisa....ukimuongelea ni imekula kwako.... He is very powerful kule NORTHERN EASTERN DIOCESE....watu wanajua makosa yake but unafunguaje mdogo na akujue kuwa wewe ndo umesema.....
Dini hizi bhana
Sent using Jamii Forums mobile app