Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Status
Not open for further replies.
Sasa wewe Mshana Barua za Kanisa unazileta huku JF ili upate nini? Si hekima ulivyofanya. Hii barua ungeiacha huko ilikotumwa. Kuwa na Hekima kama Yusufu aliposhtukia Mariamu ana mimba bila kuhusiana naye. Unamuabisha Baba Askofu Munga Mtumishi wa Bwana.
Mtumishi wa bwana yupi huyo? Ukishatuhumiwa ONDOKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Munga ni kweli alipiga hela yeye na huyo Anneth ambaye ni ndugu yake, na kwanini bado anang'ang'ania madaraka au mamlaka?

Askofu Mkuu yuko wapi?

Inabidi Askofu Mkuu ama baraza la Maaskofu limshughulikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka ya KKKT ipo chini ya dayosisi, Dr Shoo akenda huko hana mamlala yeyote.

Askofu mstaaf mdegela alifukuza maaskofu waliokuja kumchunguza na hawakuwa na la kumfanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama mlichanga na kulipa deni la 1.3bil ina maana mliwakataza kukopa tena? Hilo ni deni jipya kwa ajili ya miradi inayoendelea...
 
Kwani mchakato wa kukopa ukoje?
Mkuu kama mlichanga na kulipa deni la 1.3bil ina maana mliwakataza kukopa tena? Hilo ni deni jipya kwa ajili ya miradi inayoendelea...

Jr[emoji769]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom