Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,093
- 866
Wanufaika wa amani ni Watanzania wote. Wanufaika wa amani sio Serikali pekee yake. Wanufaika wa amani sio vyama vya siasa pekee yake. Wanufaika wa amani ni Watanzania wote
Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA
—————————————————-
Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Kasisi Kanoni Charles Mika Lundu kuwa Askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Handeni, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Kristu Mfalme, Chanika, mkoa
ni Tanga.