Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Membe hafai kuwa kiongozi wa nchi wahindi na wachina na waarabu watamiliki nchi uyo anautaka urais kutimiza matamanio tu
Membe hafai kuwa kiongozi wa nchi wahindi na wachina na waarabu watamiliki nchi uyo anautaka urais kutimiza matamanio tu
Nyarandu huyu aliekua wazir wa twiga....au kna mwingine....Hivi ndugu zangu Watanzania nafiria ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma
Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025
January, Zito,Nape, Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati
Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana exposure yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
On right time?Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.
Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea
Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
NO WAY WALAHIJiwe aondoke tu hiyo 2020. Hata sungura akiwa rais sawa tu.
Umaandika gazeti kubwa kupoteza muda bure kila mwenye AKILI TIMAMU ANAJUA KUNA WATU WATAJITOKEZA NDANI YA CCM 2020 kuwania nafasi ya kugombea nafasi ya uraisi kupitia CCM ulichoandika hakuna jipya ni kupoteza muda na kila mwanachama wa CCM anayo haki ya kufanya hivyo katiba CCM inaruhusu so John atulie hana uwezo wa kuzuia watu wasigombee.
You have said it all, summed it up. Yaani mimi hata pundamilia akiwa rais ni sawa tu, cha muhimu huyo mtu aondoke.Jiwe aondoke tu hiyo 2020. Hata sungura akiwa rais sawa tu.
Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.
Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea
Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
You have said it all, summed it up. Yaani mimi hata pundamilia akiwa rais ni sawa tu, cha muhimu huyo mtu aondoke.
Acha mcharuko wewe JPM FOR LIFE WALAHIHivi ndugu zangu Watanzania nafiria ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma
Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025
January, Zito,Nape, Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati
Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana exposure yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
Sasa hao kina January sijui Mwigulu ni wapya?
Nyarandu huyu aliekua wazir wa twiga....au kna mwingine....
On right time?