Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,376
Leo nikiwa narudi zangu home, hapa hapa mtaani kwangu nikakuta vitoto vya miaka kama sita (kiume) na 4/5 (kike) wanacharazwa bakora kwa kile walichodai wazazi wao kuwa waliwakuta wanafanya mapenzi!!!
Baada ya hapo wazazi wakawa wanalalama, 'watoto wa siku hizi........!', watoto wa siku hizi..........!'
Nikapata kujiuliza, hivi wale waliokua miaka ya nyuma hakukuwa na matukio kama haya kweli?? Ni kweli kuwa kizazi cha sasa kimeharibika??? Najua pia humu mpo mliowahi kufanya mapenzi utotoni, hamkuwa mmeharibika?? Au ni usemi tu??
Hata ukija kwenye swala la mavazi, watu wanalaumu tu vijana wa siku hizi......, vijana wa siku hizi!!! Lakini hebu angalia picha za wazazi wako wakiwa vijana nguo walizokuwa wanavaa!!
Kuna utofauti na za miaka hii hapo???