Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,945
- 5,849
Wana Jf. Nawasalim
Mambo yamebadilika mahusiano ni ghali mno , hasara kwa mwanaume na mwanaume ukiendekeza chini kibunda hutosave na wala hutopata kipande cha ardhi pakuzikiwa ukifa,
nashauri ile kanuni ya kunyakua binti aliye iva iva na kumuweka ndani alafu mzee anaenda kutoa taarifa kwa wazazi wa binti irudishwe kuokoa hiki kizazi kilicho athiriwa na mizinga ya hapa na pale kutoka kwa wanawake
Ndugu katika ujenzi wa Taifa, vijana tumekuwa tukipambana sana kujenga uchumi wa taifa kwa kulipa kodi na uchumi wetu binafsi pamoja na tuwapendao ila kwa upande mwingine tunazidiwa sana na siyo kawaida ni vile tuu hatusemi na sasa lazima tuweke wazi wajue kwanini hatutaki kuoa.
Ndugu zangu huwezi amini kabisa mahusiano ya siku hizi yamekuwa ghali sana kupita kiasi na mwanaume ukiendekeza chini utakufa hata kipande cha ardhi pakuzikiwa utakosa kabisa
Wazazi mmesahau majukumu yenu kwa watoto wenu wa kike (mabinti zenu) , unatongoza binti mnakaa kwenye mahusiano katika kuchunguzana unakuja kugundua mzazi hana lolote analo muhudumia binti yake zaidi ya malazi na chakula tuu na kama binti anasoma utakuta hela ya ada yenyewe na Uniform anatoa kwa mbinde sana.
Binti akisha vunja ungo anahitaji kupendeza , kusuka ,kuonekana ana meremeta na kunukia na wazazi wetu hata kuwafungia vihela kidogo hilo hakuna mpo mpo tuu kwa kweli mkisingizia ugumubwa maisha na utandawazi ndiyo unaoharibu vijana wa kiume na kike na kupelekea kuona ndoa ni mzigo.
HATIMAYE:
Mabinti wengi sasa wamehamishia mzigo huo wa malenzi kwa vijana wanaojitafuta kiuchumi na wenye nia nzuri ya kuwaoa kabisa hali inayoleta tishio na hujuma kuu ndani ya mahusiano na uchumi wa mwanaume
Unakuta binti unamtongoza vizuri tuu kwa nia ya kuja kumuoa, unamdate tuu kwa nia njema kabisa ila sasa ni vizinga ,njaa, nguo, mafuta, mara kusuka , mara taulo za kike, mara vinauli nauli na viakiba akiba vya hela vya kuzugia town binti anaomba hela MPAKA MWANAUME UNAOGOPA KURUDIA KUTONGOZA UNAKIMBIA TUU UKIWAONA NA KUJIFANYA HUNA HABARI NAO
Wanaume tunafika mahali tunakataa ndoa, hatutaki kutongoza tunafanya tuu timing ya kupata uroda kwa muda na tunapotea ni heka heka kweli kweli , wengine wanadiriki kujiunga CHAPUTA na kushtua Nyeto ili kubana kibunda kwa sababu wanawake wamekuwa ghali sana kweli kweli
Sii mishangazi, sii single mother, sii wake za watu na wala sii mabinti wote wamekuwa ghali kweli kila mtu akipata mwanaume wa kumtongoza ana muangushia zigo la matatizo lukuki mpaka tunasema hivi kwanini nime mtongoza, kabla ya hapo alikuwa anaishije huyu mwanamke.
Wazazi fanyeni majukumu yenu kwa mabinti zenu mtuepushie hili janga la kuombwa hela na kuliliwa shida mpaka akili inachangamka ,kumbwa ma mawazo mengi hadi nguvu za kiume tunaonekana hatuna kumbe tunazo za kutosha tuu , kwa kweli hali hii inapelekea ugumu sana kwenye swala la mapenzi,
Nawaambia wazazi sisi vijana wenu msipo fanya majukumu yenu kama wazazi kwa mabinti zenu hakika sisi hatutooa na waambieni tutazalisha mabinti zenu kwa kuwahonga elfu 3 (Tsh 3000) na chipsi mayai alafu tunawaachia hapo nyumbani muangaike nao.
Hakuna namna