Tuelezane ukweli...Yameanza miaka hii kweli

Watoto wanajifunza toka kwa wakubwa,kama kweli kizazi cha siku hizi hakina maadili,basi wazazi wake nao hawana maadili.Inaaminika kuwa;young generation learn from elders.
 
Watoto cku hizi wana sehemu nyingi za kujifunzia haya mambo mfano kwenye tv.
 
Back
Top Bottom